Recent content by DICKSON ZAKWA

  1. DICKSON ZAKWA

    JamiiForums Tanzania Nikioa sitashika simu ya mke wangu.

    Kumbe ni hanithi ndiyo maana umekuja kuandika upuuzi hapa. Mtu huna mwanamke utazijuaje principles za kuishi na wanawake hadi uje utoe somo hapa,hujawahi hatakuwa na mwanamke wala huna mpango we unawezaje kuwa mzima,lonjo we. Kama umekuja kujifunza sema usaidiwe.
  2. DICKSON ZAKWA

    JamiiForums Tanzania Nikioa sitashika simu ya mke wangu.

    Huko ni kuogopa ukweli ambao ungekupa maamuzi ya kuwa huru. Hayo mambo ya kuogopa mwisho wa siku unakuta maisha muliyoyaandaa muda mrefu yameshaharibika bora ungejua mapema wanawake wengi wanatamaa,akiwa na wewe anaona kama angempata zaidi yako kwa maneno tu ya msg na fikra chafu. Bora...
  3. DICKSON ZAKWA

    JamiiForums Tanzania Tairi 4 mpya Nankang 255/70/16

    Ni kiasi gani unauza kwa zote
  4. DICKSON ZAKWA

    JamiiForums Tanzania Maimartha wa Jesse ameweka majibu yake ya UKIMWI hadharani

    Ha ha ha
  5. DICKSON ZAKWA

    JamiiForums Tanzania Maimartha wa Jesse ameweka majibu yake ya UKIMWI hadharani

    Ila we dada tangu nimeanza kukuona nakuzimia sana,naipenda hiyo sura yako,soft skin na hilo cheko.
  6. DICKSON ZAKWA

    JamiiForums Tanzania Maimartha wa Jesse ameweka majibu yake ya UKIMWI hadharani

    We hukupata gari nyekundu na dola kwenye bahasha ya kaki?
  7. DICKSON ZAKWA

    JamiiForums Tanzania Shehe wa msikiti wa Kimara aitaka Serikali impigie simu Allah ili awalipe gharama za kubomoa msikiti

    PALE STENDI YA MKOA PEMBENI KUELEKEA KIBADAMO NI ENEO LA WAZI,WATU WAMEJENGA VIBANDA VYA BIASHARA. WAKACHUKUE PALE KUANZIA GETI LA KUINGILIA HADI KIBADAMO,PALIKUWA HIFADHI YA RELI. Ni opposite na HOSTEL ZA UDSM,NYUMA YA NBC BANK.
  8. DICKSON ZAKWA

    JamiiForums Tanzania Fumanizi la kutengeneza mke wa mtu muogope

    Watu eanaviuza vibamia vyako huko SOUTH AFRICA ili wasipate shida yeye bado anakitumia tu?
  9. DICKSON ZAKWA

    JamiiForums Tanzania Je, Serikali imebadili Magari ya Wakuu wa Mikoa?

    Serikali inanunua AUTOBIORAPHY!
  10. DICKSON ZAKWA

    JamiiForums Tanzania Wanawake kupenda wanaume weusi, wanaume weupe kosa letu nini?

    Yo'fucking right
  11. DICKSON ZAKWA

    JamiiForums Tanzania Le baharia on TBC1

    Degree 3 nanakili ni zile zile kama za maprofessor wetu hawa,tatizo ni nini au liko wapi,au ukiwa tu GREEN PARTY basi akili ni za kikokondakta wa daladala.
  12. DICKSON ZAKWA

    JamiiForums Tanzania Rupia: Hazina ya Mjerumani

    Kwanza vuashara hiyo ya mali za wajerumani ni ya KITAPELI tu,sawa na ile ya shilingi za mwinyi.
  13. DICKSON ZAKWA

    JamiiForums Tanzania Chibu kapanda mbegu kwa mshamba na limbukeni

    mtoa mada hujakosea
  14. DICKSON ZAKWA

    JamiiForums Tanzania Sheikh Ponda aachiwa Polisi kwa dhamana

    "Nitasema kweli daima fitina kwangu mwiko" Hili neno la zamani wakati natoa ahadi za chipukizi.
  15. DICKSON ZAKWA

    JamiiForums Tanzania Watu Wafurika kumuangalia Zari Mlimani City.

    Amezoea noti,hata huyo mtoto wa Tandale KAZAWADIWA "K" tu
Back
Top Bottom