Recent content by DICK POMBE

  1. DICK POMBE

    TABORA: Mkuu wa Wilaya ya Uyui abwaga manyanga!

    hongera sana mkuu kwa uamuzi uliouchukua safi sanaaa
  2. DICK POMBE

    Mtoto wa miaka 11 atunukiwa PhD kwa niaba ya marehemu mama yake

    BINAFSI SIONI KOSA LOLOTE KWANI TAYARI AMESHASEMA AMEPOKEA KWA NIABA YA MAMA YAKE AMBAYE TAYRI NI MAREHEMU
  3. DICK POMBE

    Chama cha Mapinduzi(CCM) wamtoa machozi Eric Shigongo, wamwambia kunywa maji

    pole sana brother, najua iko siku watakulipa madai yako, cha msingi usikate tamaa
  4. DICK POMBE

    DR CONGO: Rais Kabila atangaza kutowania Urais katika uchaguzi mkuu ujao

    kauli ya trump ya kudili na viongozi wanaong'ang'ania madaraka imeanza kutekelezwa, hongera kwako trump na hapo ndio hujaingia whitehouse
  5. DICK POMBE

    Kuruhusu wafanyakazi kujitoa kwenye mifuko ya Hifadhi ya Jamii

    Kuruhusu wafanyakazi kujitoa kwenye mifuko ya Hifadhi ya Jamii. Wafanyakazi wa maeneo mbalimbali nchini, na hasa migodini, walipiga kelele wakipinga uamuzi wa Mamlaka ya Usimamizi wa Mifuko ya Hifadhi ya Jamii (SSRA) kuzuia fao la kujitoa. Wananchi wengi sana tulikubaliana na hasira zao hasa...
  6. DICK POMBE

    MALEZI: Nilichokiona kwenye gari la shule la watoto wetu

    shule nyingi zimekuwa ni dili zipo tu kwa kujipatia maslahi, na hazina malezi bora, mwanzoni mi nilijua ni kwa watoto wa shule za bweni lakini hata kwa wanafunzi wa kutwa nako ni shida, niwaombe wenye shule wasiangalie maslahi tu lakini pia wawe ni wazazi wa pili kwa watoto wetu
  7. DICK POMBE

    Watanzania waliokuwa wametekwa Congo waokolewa

    mzee kila mtu amejaliwa sehemu yake ya kupatia riziki, inawezekana huendi huko kwa sababu unasehemu yako nyingine ya kukupatia riziki, inawezekana hata wewe hiyo sehemu yako ya kupatia riziki inayoiona kwako ni salama siku moja ikaja kuwa majanga tu, kwa hiyo tengua kauli yako
  8. DICK POMBE

    SENGEREMA: Afisa TAKUKURU amlamba mwalimu makofi

    sioni kama kulikuwa na sababu ya kumpiga huyo mwalimu, na hii yote ni ubabe walionao hao jamaa wanaojiita takukuru angekuwa ni kamanda wa zamu (jw) angethubutu kumpiga, hebu tubadilike tusiishi kwa kudharauliana.
  9. DICK POMBE

    Tetemeko la Ardhi Bukoba: Rais Uhuru Kenyatta atoa Salaam za Rambirambi na Misaada kwa wahanga

    kabla ya kupata misada ya wahisani mbalimbali serikali inapaswa kulipa kipaumbele swala hili
  10. DICK POMBE

    Kutoka Bungeni: Fao la kujitoa halipo badala yake limeletwa fao la kutokua na ajira

    hawa jamaa naona wanafanya masihala na pesa za watu, kwanza hela zetu wanakaa nazo kwa muda mrefu, wanazifanyia biashara, wanapata faida kubwa sana kutokana na hizo hela zetu halafu leo tunawekewa masharti, kwa kweli mi hapo sijaelewa na sitoelewa mi nachokitaka ni mkwanja wangu wote
  11. DICK POMBE

    SIMIYU: Naibu Waziri Stella Manyanya amemsimamisha Mkuu wa Chuo cha Maendeleo ya Jamii Bunamhala

    hata hivyo vyuo kwa sasa havina ubora hata fedha za kuendeshea ni tatizo, kwa hiyo hata huyo aliyemteua na yeye atachemka tu, suluhisho ni kuvifufua na kuvirudisha katika ubora wake kama ilivyokuwa mwanzo, kwani vimekuwa vikitegemea misaada kutoka kwa wahisani badala ya serikali
  12. DICK POMBE

    Mwanafunzi wa UDOM auawa kwa kupigwa usiku

    sio wote wanaokwenda bar wanakwenda kunywa pombe, tusiwe wepesi wa kuhukumu la msingi tujue chanzo kiliku ni nini
  13. DICK POMBE

    Nimewahi kuwa changudoa, nimjulishe?

    kwani katika hali hiyo ya uchangudoa uliwahi kufanya kinyume na maumbile, kama sivyo kwa nini usimuweke wazi kwani hakuna mtu ambaye anaweza akaoa mwanamke ambaye hajawahi kukutenda tendo la ndoa, japo kuwa wewe mazingira ilikuwa ni tofauti, hivyo la msingi wewe mwambie ukweli isije siku moja...
  14. DICK POMBE

    DRC: Jaji aliyemhukumu Katumbi adai alishinikizwa na Majasusi

    mahakama ni mhimili mkuu sana katika nchi yoyote ile duniani, sasa kama inafikia nayo inaanza kuingiliwa tujue moja kwa moja hakutakuwa na haki kwa na hasa kwa wanyonge ambao ndio tulio wengi
Back
Top Bottom