Recent content by dibundile

  1. D

    JamiiForums Tanzania Urais 2015: January Makamba moto wa kuotea mbali

    mtoto wa kwanza alikuwa nani kuingia ikulu?
  2. D

    JamiiForums Tanzania Wasanii wa Bongo angalieni na nguo za kuvaa

    kweli ondoa ujinga huo hapa
  3. D

    JamiiForums Tanzania Urais 2015: January Makamba moto wa kuotea mbali

    kama vigezo unafaa
  4. D

    JamiiForums Tanzania Urais 2015: January Makamba moto wa kuotea mbali

    Kitendo cha huyu kijana ambaye ni mbunge wa Bumbuli kutangaza nia ya kugombea ukuu wa kaya hapa nchini kumewafanya wakongwe katika CCM kuwa na mashaka na kijana huyu ambaye anaonekana ana uwezo mkubwa wa kushawishi makundi mbalimbali na kumkubali kwa uwezo ambao anao wazee ndani ya chama...
  5. D

    JamiiForums Tanzania Mwalimu auwawa Itilima baada ya kuua mwanafunzi

    huo uzushi tu
  6. D

    JamiiForums Tanzania Sijui nina mkosi

    vumilia ndugu usikate tamaa
  7. D

    JamiiForums Tanzania Siasa za uchu wa madaraka

    Tafasiri ya neno siasa ni uongozi kwa umma,sasa inakuaje tuliowachagua wanakua wazandiki, wanafiki ktk mambo ya maendeleo?
  8. D

    JamiiForums Tanzania Yupi Kati ya hawa ungependa awe rais wa Tanzania 2015?

    Mheshimiwa edward lowasa ndo anafaa kuwa rais ajaye wa tz kutokana na sifa alizonazo kwanza mvumilivu,sio fisadi,mpenda maendeleo,sio mbinafsi pia ni mzoefu katika masuala ya uongozi huyu ndo rais anaefaa tz ya leo
  9. D

    JamiiForums Tanzania Asante sana JF

    All the best ndugu,tuwache kina miss chagga na khantwe wakiangaika mwenzao mom fay kaolewa
  10. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Eti shughuli hawaiwezi

    wewe una muda gani kwenye jf?mbwa ww
  11. D

    JamiiForums Tanzania Team ya wapiga deki mpooo!

    wapumb.a.v.u nyie
  12. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Anatishia kujiua , Eti bora nijifanye kama nampenda!

    ulianza nae kwanini kama kweli humpendi acha ufala wewe ------
  13. D

    JamiiForums Tanzania Nataka kujiendeleza

    mzumbe na ifm unasoma ila uwe na atleast second class
  14. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mawazo yenu wakuu juu hili

    kwani kuna ajabu gani akienda kwa mjomba ake?
  15. D

    JamiiForums Tanzania Usaili NMB-Mwanza

    usilete masihara kwenye kweli wewe
Back
Top Bottom