Asante sana JF

Asante sana JF

Hongera mkuu......me mda ukifika ntaweka tangazo

hongereni

hongera bado mimi

Ubarikiwe na yeye akuzalie vizazi bora !! Mtunze mwana wa watu.

Hongera sana,Mungu awatangulie

hongereni sana

hongera na Mungu awatangulie

All the best ndugu,tuwache kina miss chagga na khantwe wakiangaika mwenzao mom fay kaolewa

Asanteni sana wakuu...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom