Recent content by Diana Bx

  1. D

    JamiiForums Tanzania Je! Mungu ni yule yule?

    Hilo nalo mmh!
  2. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Udi inayofaa kwa mwanamke kujifukiza

    Sijaelew chochote
  3. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Udi inayofaa kwa mwanamke kujifukiza

    Mmh!!
  4. D

    JamiiForums Tanzania Mti wa Chuma ni nani humu JF?

    Lakini nimeeleweka.
  5. D

    JamiiForums Tanzania Mti wa Chuma ni nani humu JF?

    Lugha ya whatxapp kvp ?
  6. D

    JamiiForums Tanzania Mti wa Chuma ni nani humu JF?

    Lugha ya whatxapp kvp ?
  7. D

    JamiiForums Tanzania Mti wa Chuma ni nani humu JF?

    Mimi amenixaidia xana nilikuwa na tatizo la kuziba mirij ya uzazi akanifanyia kixomo na xaxa nina ujauzito. But kila nikijarib kutk kuonana naye nakwama.
  8. D

    JamiiForums Tanzania Msaada: Taratibu za ufadhili kwenye Mashirika za Watoto.

    Ingekuwa vzr utembelee kwny ofisi zao ili ujue zaidi
  9. D

    JamiiForums Tanzania Pete za vito

    Habari wanajukwaa. Mara nyingi naona watu wakivaa pete za vito vya thamani kubwa. Nashindwa kuelewa ni urembo au ni nini. Mara nyingi hizo pete wanavaa kwenye vidole vya mkono wa kulia. Nawasilisha.
  10. D

    JamiiForums Tanzania Kununua ticket ya ndege kabla ya safari

    Wasalaam, Wanajukwaa naomba kujua utaratibu wa kulipia ticket ya ndege kabla ya safari ikoje kwa shirika la ndege la fastjet. Nataka kusafiri mwezi wa3 kutoka Arusha kwenda Dar, pia bei za ticket 2016 zikoje?
  11. D

    JamiiForums Tanzania Kwa anayejua gharama za Utrasound

    Jamani kwa anayefahamu gharama ya vipimo vya utrasound kwenye hospitali za serikali anifahamishe. Nina tatizo la mirija ya uzazi kuziba. Je! tatizo hilo atibabu yake ili kuzibua mirija ni lazima kufanyiwa upasuaji??
  12. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sababu za wanaume kutongoza kila mwanamke

    Hawana busara hao dadangu
  13. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sababu za wanaume kutongoza kila mwanamke

    Mtu kama ni mke wa mtu kwnn umtongoze? na amekwambia hataki
  14. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sababu za wanaume kutongoza kila mwanamke

    Nashindwa kuelewa ni kwanini wanaume mnapenda kutongozaa kila mwanamke? Unakuta anakutongoza unamwambia mimi ni mke wa mtu lakini bado anang'ang'ania kukutongoza. Badilikeni acheni hizo tabia mnakera sana.
  15. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Dada wa Saloon ananiletea wanawake

    Ukimkuta mwanaume anajisifia hana lolote.
Back
Top Bottom