Msaada: Taratibu za ufadhili kwenye Mashirika za Watoto.

Mti wa Chuma

JF-Expert Member
Jul 2, 2015
331
99
Habari wakuu.
Kwa yeyote anayejua utaratibu wa jinsi ya kuomba ufadhili kwenye mashirika yanayojishughulisha na mambo ya watoto mfano Save the children anisaidie. Nipo kwenye program ya kufanya vipindi kwenye Tv Stations kuhusu watoto.

Tusaidiane ujuzi wakuu.
 
Back
Top Bottom