Recent content by Dhahir

  1. D

    JamiiForums Tanzania Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Mwenye jingles za RTD&RADIO ONE naziomba
  2. D

    JamiiForums Tanzania Msanii Dude kurudi na Bongo Dar es salaam kwa kishindo

    Nadhani kipindi kinarushwa Jumanne saa 3 usiku. Kuna episodes zao zipo YouTube, naona mwanzo mzuri wanafanya vizuri.
  3. D

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuomba ajira za ualimu kwa mfumo wa OTEAS na changamoto zake

    Vyeti vinagoma kupanda
  4. D

    JamiiForums Tanzania TAMISEMI yatangaza Nafasi za kazi 4549 kwa Walimu wa Shule za Msingi na Sekondari

    Opera inazngua, tumia Mozilla au chrome
  5. D

    JamiiForums Tanzania Unawakumbuka hawa enzi za "michezo" ya kwenye runinga?

    Kama inawezekana ITV wangetuuzia hizo CD za maigizo ya zamani.
  6. D

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kujiunga na Bima ya afya kwa mtu asiyekua mwajiriwa sehemu yeyote

    Wewe na wategemez kama wanne. Mke/mume na watoto chin ya umr miaka 18. Wazaz hawajumuishwi kama wategemez.
  7. D

    JamiiForums Tanzania Bongo Fleva ya zamani tulikuwa tunapewa story.. siku hizi tunapewa nini?

    Wimbo ninao ila sijui jinsi ya ku upload
  8. D

    JamiiForums Tanzania Yu wapi mwanahabari Ufo Saro aliyepata kufanya kazi ITV?

    King'amuzi cha antena chaneli namba 124
  9. D

    JamiiForums Tanzania Yu wapi mwanahabari Ufo Saro aliyepata kufanya kazi ITV?

    Sasa hivi anafanyia kazi DIRA TV ipo kwenye king'amuzi cha startimes, saa1 jion/usiku huwa anaripot habari.
  10. D

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu job termination

    Kama mkataba ni wa mwaka mmoja na unaishia tarehe 31 December, mkataba unasema mwisho wa mwaka unaweza ukarenew. Je, mwajiri anatakiwa akujulishe lini kwamba hataendelea na wewe kwa mwaka utaofuata? Je kama amechelewa kukujulisha kwamba hatakuwa na wewe kwa mwaka unaofuata tena bila kosa lolote...
  11. D

    JamiiForums Tanzania Nahitaji PS2 Kwa Haraka

    Hiyo bei iko chin sana, kwa bei hiyo utapata mashine bila flash&pads
  12. D

    JamiiForums Tanzania Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Sawa
  13. D

    JamiiForums Tanzania Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Naomba wimbo wa John Walker-Sofia
  14. D

    JamiiForums Tanzania Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Utanikumbuka wa super danger ft banza stone upo you tube
  15. D

    JamiiForums Tanzania Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Wimbo ninao ila sijui jinsi ya ku upload
Back
Top Bottom