Hakuna aliyejibu. Majibu kwa wanaofahamuJamani kama mimi binafsi ndio naihitaji, sio na familia wala yoyote nataka mimi kama mimi pia ni laki9?
Mkuu ngoja niwasaidie, fanya hvi jiunge na mfuko wa kijamii, mfano mimi nilijiunga na nssf, ukishajiunga masharti yao uwe na uwezo wa kuweka elfu 20 kila mwezi, 20 hyo ni akiba yko, then baada ya miezi mitatu tangu kujiunga utapewa form za matibabu za kujaza na kuchagua Hospital moja kati ya list ya hospital watakazokupa ktk wilaya yako, private na public, ukishachagua utasubiri kwa mda wa mwezi mmoja form zako zikishawasili kwenye Hospital uliyochagua then utakuwa unapata matibabu hapo kwa kulipiwa bure na nssf kila utakapoenda,.. Ukitaka nikukonect zaidi 0752399070Mwenye jibu la uhakika tafadhali kuna mtu pia kaniomba nimuulizie hili swala.
Idadi ya watu wangapiMkuu ngoja niwasaidie, fanya hvi jiunge na mfuko wa kijamii, mfano mimi nilijiunga na nssf, ukishajiunga masharti yao uwe na uwezo wa kuweka elfu 20 kila mwezi, 20 hyo ni akiba yko, then baada ya miezi mitatu tangu kujiunga utapewa form za matibabu za kujaza na kuchagua Hospital moja kati ya list ya hospital watakazokupa ktk wilaya yako, private na public, ukishachagua utasubiri kwa mda wa mwezi mmoja form zako zikishawasili kwenye Hospital uliyochagua then utakuwa unapata matibabu hapo kwa kulipiwa bure na nssf kila utakapoenda,.. Ukitaka nikukonect zaidi 0752399070
Andaa million 1.5 mkuuHeshima kwenu wana jamvini, naomba msaada kwa anayejua utaratibu na namna ya kujiunga na huduma ya Bima ya afya kwa mtu asiye muajiriwa, je ni hatua gani za kufuata na ni katika ofisi gani inahusika na huduma hizo? natanguliza shukrani.
Wewe na wategemez kama wanne. Mke/mume na watoto chin ya umr miaka 18. Wazaz hawajumuishwi kama wategemez.Idadi ya watu wangapi