Recent content by dfre

  1. D

    JamiiForums Tanzania Mwenye taarifa kuhusiana na kazi za Precise Technologies na Petroleum Importation Coorporation

    Interview next wk j5 wamepiga simu
  2. D

    JamiiForums Tanzania Wassira A Visionary Leader Aliyaona yanayotokea CHADEMA

    Wasira si visionary leader alafu acha kupotosha kwasababu na wewe umepata pakusemea tu ndio uanze kudanganya sababu unajua kila mtu sasa ataweza kuamini kila baya kwa chadema tena kwa urahisi.labda nikukumbushe wasira hajawahi kushauri kuhusu kusambaratika kwa chadema bali alisema...
  3. D

    JamiiForums Tanzania CHADEMA Yaanikwa Bungeni Jioni Hii!

    aliye makini ni nani?
  4. D

    JamiiForums Tanzania Bungeni: Mwigulu achafua upepo, Lissu atolewa nje ya bunge, agoma! Bunge lakatishwa kabla ya muda...

    Huu ndo upuuzi wananchi wanaoupigia kelele je kwanini mbunge wao alipo tukana leo hasubuhi hakutolewa nje hadi mwenyewe akaona aibu mchana akaomba msamaha kweli mkuki kwa nguruwe mtamu lakini kwa binadamu mchungu kama alivyosema spika sasa imerudi kwao,by the way who is mwigulu nchemba ktk nchi...
  5. D

    JamiiForums Tanzania Gazeti la Tanzania Daima laadimika mtaani

    kwa mwendo huo basiiiii kwisha habari yao ukweli unazidi kujifunuwa kadri muda unavyoenda.kwanini wanunuwe hayo magazeti?kwa ajili ya nini haswa ndo sababu ya kununuwa hayo magazeti na nani kawatuma walionunuwa na kwa faida ya nani ili wananchi wakose haki yao ya msingi ya kupata habari,mfa maji...
  6. D

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Nishati anapolingopea Taifa

    Ccm nchi imewashinda kila kona wapishe wanaoweza kuongoza nchi yani kila kitu usanii tuuu kuanzia elimu afya gesi umeme mikataba hakuna wakifanyacho ofisini blaaa blaaaa tu na porojo
  7. D

    JamiiForums Tanzania Juu ya tuhuma kwa Zitto na kundi lake kutoka kwa Mamuya...

    Ktk chadema tatizo number one ni zito only coz ni mbinafsi tena sana
  8. D

    JamiiForums Tanzania Toothless TAKUKURU: Uchaguzi UVCCM watawaliwa na rushwa na vurugu

    Babu rushwa, baba rushwa, watoto rushwa na wajukuu rushwa waaache wamalizane wenyewe chama cha rushwa hicho bila pesa hauwezi kuwa kiongozi kwa kina magamba bila pesa
  9. D

    JamiiForums Tanzania Serikali yamsimamisha Kazi Mkurugenzi MSD

    Inasikitisha kama hadi dawa bandia wanatengeneza je waliopata athari ya hizo dawa watafidiwaje wakiwamo na waliofariki kwa kutumia hizo dawa?
  10. D

    JamiiForums Tanzania Ni kweli Kakakuona anatabiri?

    Kaka kuona kuonekana tanzania makongo juu dsm je hii inaashiria nini?source clouds tv
  11. D

    JamiiForums Tanzania Dar: Maandamano makubwa katikati ya Jiji

    wawafukuze waone cha moto ha ha ha ndo utawala wa sheria ulivyoegemea upando mmoja kweli tanzania inaongoza kwa utawala bora ingekuwa M4C washapigwa na kufunguliwa kesi long time wakipewa sababu eti inteljensia inaonyesha kutatokea vurugu,shame on u
  12. D

    JamiiForums Tanzania "Huenda Mwandishi Daud Mwangosi alitumwa awalipue Polisi kwa bomu (Kujitoa mhanga)"

    mleta mada umekosea huyo ni kichaa ungemuacha na ukichaa wake huko huko alipo kumleta hapa unampandisha chati bure
  13. D

    JamiiForums Tanzania Polisi: Marehemu Ally Zona aligongwa na kitu kizito na sio Risasi

    Eeeh lakiindi eeEeh kwishne hakuna kazi hapo ni siasa tu
  14. D

    JamiiForums Tanzania Kwa mambo haya - JK ni Mdini!

    Sisi kanisani tunajuwa idadi ya waumini sasa tukijumlisha makanisa yote tunajuwa idadi kamili na kama tunajuwa wakristo ni kiasi gani si tunachukuwa idadi ya watanzania tunatowa wakristo tunapata idadi ya waislamu,is very simple acheni udini kama vipi na nyie jihesabuni huko misikitini mjuwe mpo...
Back
Top Bottom