Recent content by Dexta

  1. Dexta

    JamiiForums Tanzania Wauza magari wa bongo, wengi hawapaswi kuwa car dealers hawayajui magari kabisa

    Sio kila mtu anauwezo wa kuagiza gazi mkuu.
  2. Dexta

    JamiiForums Tanzania Kwanini watoto wa kike hasa Gen Z wazito kuanzisha salamu?

    Mjini salamu sio lazima sana, labda sijui unaishi kijiji gani mtoa mada.
  3. Dexta

    JamiiForums Tanzania Nina kereka na mume wa x wangu amemtelekeza mke, ananisumbua

    Anakusumbua kwa kipi sasa bwana mdogo?
  4. Dexta

    JamiiForums Tanzania Naomba Mkopo wa kukopeshwa

    Kopa kwenye mitandao huko au skuhizi hazipo app zinazokopesha?
  5. Dexta

    JamiiForums Tanzania Nina jamaa yangu tangu nimjue hajawahi kuwahi tukikutana. Hii inasababishwa na nini wakuu?

    Kama ni issue za pesa itakuwa yeye ndio kichwa that's why anajikuta boss hajali time.
  6. Dexta

    JamiiForums Tanzania Mnaosema uchawi haupo, hiki ni nini.!?

  7. Dexta

    JamiiForums Tanzania Uliwahi kopa hela kwenye app za online, ilikuwaje?

    Huu uzi wa vijana ambao bado mnajitafuta, pambaneni sana.
  8. Dexta

    JamiiForums Tanzania Wazee wenzangu, mnavipataje hivi vitoto vya 2000? Maana nimejaribu kila mbinu nikafeli

    Vuta bangi, vinapenda sana wahuni
  9. Dexta

    JamiiForums Tanzania Rais Samia anachekesha kama si mtu wako wa karibu

    Fanyeni kazi acheni malalamiko, hamna mtu atakuletea chakula nyumbani kwako.
  10. Dexta

    JamiiForums Tanzania Mnaovutiwa na warembo wa JF mlifanikiwa kuwapata?

    Nilipata mmoja mzuri sana na mtamu hatari mpaka leo ni rafki yangu
  11. Dexta

    JamiiForums Tanzania Sipo Hapa kula mtu ila muelewe. Monthly payment yangu ni 4500$ Sawa na 12M kulingana na position Yangu na experience

    Tafuteni hela visukali visiwapande mtu akifurahia jasho lake.
  12. Dexta

    JamiiForums Tanzania Wanawake jifunzeni kutunza siri, mnatuharibia sana. Saahizi ndoa yangu ipo matatani kuvunjika

    JIandae kisaikolojia mkuu, mkeo lazima achepuke pia.
  13. Dexta

    JamiiForums Tanzania Watanzania wamechagua amani badala ya vurugu: Wanaharakati wa maandamano wameshindwa

    Muulize huyo muandamanaji yupo wapi muda huu..?🤣
  14. Dexta

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kampani Leo, nani yupo tutokee viwanja

    Sogea THE VOICE hapa tufurahie weekend mrembo
  15. Dexta

    JamiiForums Tanzania Kama unataka uishi maisha marefu hapa duniani, basi achana na wake za watu

    Washauri na hao wake za watu watulie kwenye ndoa zao.
Back
Top Bottom