Recent content by Dexaquin

  1. Dexaquin

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Penzi langu na kijana linataka kunivunjia ndoa yangu

    Nadhani unaifahamu ile methali inayosema “MSHIKA MBILI MOJA HUMPONYOKA” Na pia Najua unafahamu katika Biblia imeandikwa “HUWEZI KUTUMIKIA MABWANA WAWILI” ….Hofu ya Mungu Ikutawale. Akili Kumkichwa! Uwe na siku njema.
  2. Dexaquin

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Umugila ka masala!
  3. Dexaquin

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ndoto za mke wangu zote kwangu ni za kweli

    Tatizo lako una kaubishi flani hivi ambacho hakakusaidii!
  4. Dexaquin

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Bado anaendelea kuja nyumbani kwenye shughuli au na shughuli za ntumbani zikaishia hapo?
  5. Dexaquin

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jamani maji yamefika shingoni nimwachaje?

    [emoji23][emoji23][emoji23][emoji1487] Konyo sana we jamaa
  6. Dexaquin

    JamiiForums Tanzania Vicky Kamata: Rais Samia hawezi kutibu majeraha, viongozi wa dini wagange mioyo ya watu, wamejeruhiwa

    Si ndio unafiki anaousema sasa! Means hata yeye alikuwa mnafiki, yupo kwenye hilo kundi alilolitaja!
  7. Dexaquin

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Simuamini tena rafiki

    Hivi KumTell ndio nini??? [emoji57]
  8. Dexaquin

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Maumivu niliyonayo najuta kuingia kwenye mapenzi, nifanye nini?

    Bro una miaka mingapi? Huyu ndio mwanamke wako wa kwanza? Kuna jamaa hapo kakushauri, safiri nenda mbali fanya vacation yako mwenyewe! Halafu mruhusu aje achukue vitu vyake mapema futa mawasiliano naye. Bila kufanya hivyo atakuingiza kwenye kishawishi and then utarudii tena hapa ukihitaji...
  9. Dexaquin

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nashindwa kufuta namba yake japo tumeachana

    Namba umeifuta au bado unayo?
  10. Dexaquin

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nashindwa kufuta namba yake japo tumeachana

    Mbona kama codes zinataka kusomana [emoji25]
  11. Dexaquin

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Halafu kuna wale wanaoanza na "Eee banah eee" hizo ni kuscroll tuu
  12. Dexaquin

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume mnatafutaga nini?

    Apa Gyole yani gua mau wee? Mwatenda yani? Pole muntua! Sent using Jamii Forums mobile app
  13. Dexaquin

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hawa viumbe hawawezi kuwa waaminifu

    Utupe merejesho baada ya kurudi
  14. Dexaquin

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mahusiano ya ndugu yangu yamefika pabaya

  15. Dexaquin

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke wangu ananifanyia ushirikina natamani kumwacha ila nashindwa

    Mwenye roho mbaya hapo ni nani kama sio wewe??! Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom