Mahusiano ya ndugu yangu yamefika pabaya

Hazard CFC

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2015
Posts
16,625
Reaction score
38,749
Poleni kwa ujenzi wa viwanda ndugu zangu..

Kuna ndugu yangu yupo kwenye ndoa miaka nane ila kwa sasa maisha wanayoishi ni ya ajabu sana,
Washagawana vyumba mwaka wa pili sasa,jamaa hata arudi saa nne usiku lazima awaamshe watoto ale nao pamoja hata kama wameshiba ni wazi anahofia kulishwa sumu na mkewe.

Ni familia bora sana kiuchumi mwanamke ana pesa mwanaume ana pesa lakini wamechagua kuishi kwa kuviziana, Kwao ni jambo la kawaida mtu kutoka saa nne usiku kurudi asubuhi

Vipi wakuu kuna uwezekano wowote wakuinusuru ndoa hii???

Updates

Chanzo cha ugomvi ni mwanamke baada ya kuolewa alikuja kugundua mumewe ana mtoto mkubwa wa nje kabla hata hawajachumbiana,ndio ugomvi ulipoanzia mwanamke akaanza dharau mume akahisi ana cheat kumlipizia japo hana ushahidi na hilo,anasema kuna siku waligombana hadi mwanamke akamtamkia hata hawa watoto hapa nyumban sio wakwako.

Mambo ni mengi sana
 
Yaani unakaa na mtu ambae humuamini kiasi unahofia anaweza kukuua muda wowote na bado umo tu? Kinachokuweka hasa ni nini? It doesn't make sense kwani kuna jambo gani kubwa kwenye hiyo ndoa?
 
Miaka miwili hawalali pamoja,
wanaweza kulala nje na hakuna noma,
Still bado unawaita wana Ndoa?
Hao hawataki kuachana kwa talaka sababu ya migawanyo ya pesa na wameshaliongea hilo na wamekubaliana kila mtu aishi maisha yake hakuna kufatiliana na hakuna kuachana na ndio maana mmoja ana hofu ya kuuliwa.
 
Watasema wanaogopa watoto wataumia kwa kukosa malezi ya wazazi wote wawili.
Mmmh sasa unaona kuna malezi ya wawili tena hapo? malezi ya wawili yanaleta maana iwapo hao wawili wana mawasiliano mazuri, kwa hali hiyo nadhani hata watoto wanaathirika maana kwa picha hiyo malezi ya wawili hapo yanafanya kazi ya kubomoa na si kujenga
 
Poleni kwa ujenzi wa viwanda ndugu zangu..

Kuna ndugu yangu yupo kwenye ndoa miaka nane ila kwa sasa maisha wanayoishi ni ya ajabu sana,
Washagawana vyumba mwaka wa pili sasa,jamaa hata arudi saa nne usiku lazima awaamshe watoto ale nao pamoja hata kama wameshiba ni wazi anahofia kulishwa sumu na mkewe.

Ni familia bora sana kiuchumi mwanamke ana pesa mwanaume ana pesa lakini wamechagua kuishi kwa kuviziana, Kwao ni jambo la kawaida mtu kutoka saa nne usiku kurudi asubuhi

Vipi wakuu kuna uwezekano wowote wakuinusuru ndoa hii???
Haya maumivu huwa hayana mfano na kamwe hawatakaa warudi kama zamani.... Kila mtu ana lundo la tuhuma kwa mwenzake...
Dedication yangu kwao... Wimbo wa HAUZIMI
 
Mmmh sasa unaona kuna malezi ya wawili tena hapo? malezi ya wawili yanaleta maana iwapo hao wawili wana mawasiliano mazuri, kwa hali hiyo nadhani hata watoto wanaathirika maana kwa picha hiyo malezi ya wawili hapo yanafanya kazi ya kubomoa na si kujenga
Aaah wanazingua sana hao.
 
Poleni kwa ujenzi wa viwanda ndugu zangu..

Kuna ndugu yangu yupo kwenye ndoa miaka nane ila kwa sasa maisha wanayoishi ni ya ajabu sana,
Washagawana vyumba mwaka wa pili sasa,jamaa hata arudi saa nne usiku lazima awaamshe watoto ale nao pamoja hata kama wameshiba ni wazi anahofia kulishwa sumu na mkewe.

Ni familia bora sana kiuchumi mwanamke ana pesa mwanaume ana pesa lakini wamechagua kuishi kwa kuviziana, Kwao ni jambo la kawaida mtu kutoka saa nne usiku kurudi asubuhi

Vipi wakuu kuna uwezekano wowote wakuinusuru ndoa hii???
20190430_204450.jpeg
 
Back
Top Bottom