Hawa viumbe hawawezi kuwa waaminifu

Hawa viumbe hawawezi kuwa waaminifu

jay311

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2012
Posts
2,932
Reaction score
2,725
Wasalaam, natumai mu wazima wana jf.

Direct kwenye kisa chenyewe.
Kwa bahati mbaya tu nilijikuta namfuma .So huyu Gf wangu niliyeamua kutulia naye (still trial and error) akiwa kwenye romantic gesture na the so called 'her ex'.

Hapo awali kama wiki 3 zilizopita nilishawah kuhisi kuwa anawasailiana na ex wake, ilitokana na jinsi nilivyokuwa nafanya follow up kwenye simu yake, akafuta some text kwenye sms na whatsup akasahau kufuta calls,nikamuuliza huyu mtu anakupigiaga tu na sms hatumi?akajibu alivyojibu basi nikapotezea,maana mimi najijua huwa nikimhisi mtu basi huwa ni kweli, nikapanga kumsuprise kazini kwake( wiki iliyofuata) ili lengo langu liwe ni kuangalia tu zile text za yule jamaa niliyemhisi, nilivyofika nikamcheki akaja nje basi hakupata muda wa kufuta, baada ya story mbili tatu nikaomba simu nipige sehumu basi nikapata na muda wa kukagua text nikakuta niliyoyakuta huko ,nikamrudishia simu yake tukaagana kinyonge.Nikaombwa msamaha jioni yake basi nikamsamehe ila nilishajua hapa nachezewa movie.

Sasa kwa bahati mbaya tu juzi tar 20 /5 kuna sehemu nilienda kufuatilia madai yangu fulani ,mdaiwa alinichelewesha sana from saa 9 mpka saa 1 usiku. I was off mood kabisa, basi nikatoka zangu kurudi mbezi kimara maeneo ya ubungo tu pale nikaona kwa ukaribu kabisa mtu anakumbatiwa ovyo na kushikwa mkono, so i took a short video ya sekunde kadhaa na picha mbili japo zilikuwa faint japo alionekana vizuri(sikutaka kwenda kuliamsha maana sijamwoa)....
Nilipofika nikajiuliza
(i) Yule mtu aliyesema alishawahi kufunga na kuomba kwa ajili ya kuliombea penzi letu lifike mbali ndio yule?

(ii) Aliyeomba msamaha mara nyingi kwa kukosa uaminifu na kuahidi kubadilika ndio yule?

(iii)Kasema kaokoka ndio kunakuwaga hivyo?

Okay. Hiki ndio nilichofanya.Usiku wake nilimpigia simu nikamwambia nilikuona ubungo na ukiwa mtu,akakataa na kukana kabisa.

Basi akawa ananitext sikumjibu usiku na asubuh ya jana....Basi akaja mwenyewe jiooni na kunipa offer ya mwili wake to make-up.

Basi nikaipokea kwa mikono miwili nilivyohakikisha kafika anapokaa basi nikamtumia picha zile namessage ya kibuti na nikampiga block. Sasa anaomba msamaha kupitia simu za marafiki zangu na kwa uncle wangu niliyemtambulisha.

Anadai huyo kijana ametokea Arusha yeye aliamua tu kumpa kampan kama rafiki na mwenyewi wake.

Mida hii naskia yupo mlangoni ananisubiria nirudi,anijui huyu.

Kwanini huwa inakuwa ni ngumu kuachana na ma-ex( Bora demu wako awasiliane na mwanaume mpya kuliko na ex wake)

Ukiwapa nini hawa viumbe watatulia?
 
Ubungo kwa mda huo unaosema umemtambuaje kama ni yeye? Na hiyo video umeichukuaje chukuaje adi uone vyema kua ni yeye?. Acha presha mapenzi yatakuperekesha
 
mmmh mambo hizi ngumu sana..uliwahi onesha nia kua una future nae?mana sio unambana kumbe mjanja janja tu
 
Wewe ni mwanaume wa ajabu kabisa,najisikia aibu kwa niliyoyasoma...sasa huyo mwanamke hata so mkeo unapekua simu yake,wewe kula mzigo achana na kutaka kujua mambo yake mzee baba...uanaume haupo hivyo..ukioa je itakuwaje?wenzako huwaga hatuna time na simu za wenza wetu..wewe hakikisha mnapeana huduma maisha yaende,hizo complications za kitoto zitakuja kukuua bado umri ..
hicho kibuti ulichompiga is the biggest mistake of your life,jifunze kuwa mkakamavu..hii dunia haujaiumba wewe mkuu!
 
Wewe ni mwanaume wa ajabu kabisa,najisikia aibu kwa niliyoyasoma...sasa huyo mwanamke hata so mkeo unapekua simu yake,wewe kula mzigo achana na kutaka kujua mambo yake mzee baba...uanaume haupo hivyo..ukioa je itakuwaje?wenzako huwaga hatuna time na simu za wenza wetu..wewe hakikisha mnapeana huduma maisha yaende,hizo complications za kitoto zitakuja kukuua bado umri ..
Labda alikuwa anampango wa kuoa kabisa. Jamaa ame fall in love anaonekana.
 
Usitusahau uendelee kutuhabarisha kila hatua

Ni hayo tu
 
Mkuu we tombana.. acha kuweka mahusiano serious!
 
Back
Top Bottom