Msumemo. Nashauri usimuindoe illovo miwani ya mbao aliyovaa. Maana yawezekana ni mamluki anatafuta habari na lengo lake anapenda tupigane wenyewe ndo atambue kuwa jeshi letu imara .
Kanisa katoliki siyo chama kusema kwamba wamepunguza mwanachama. Ndo maana hujawai kusikia au kuona wanatangatanga kutafuta wafuasi. Kanisa katoliki wana misingi inayowaongoza kama jeshi. Miiko inayoongoza kanisa katoliki ukiivmia Kwa kutumia akili ndogo utajiondoa mwenyewe. Ndiyo maana majeshi...
Nidhairi huyo mamapoa hana kazi ya kufanya na mmewe anamjali anakula anashiba wakati Mme wake yuko bize .kama wewe una akiri timamu mshauri amwambie mmewe am keep bize wakati huo uwe unajiandaa kuwa mkeo atafanyiwa hivyo
Mtoa mada nakuunga mkono Kwa kuuona baadhi ya mafanikio aliyoyafanya Jk japo yapo mengi uloyaacha kutokana na mda wako kuwa finyu. Lakini unaamin kuwa watanzania wote tunaona na mwenyemacho aambiwi tazama. Nakubaliana na we we kweli mkubwa ni jalala
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.