Recent content by Destinylady

  1. Destinylady

    JamiiForums Tanzania Mramba wa TANESCO hueleweki, kazi imekushinda, jiuzulu!

    Singida pia ni majanga hayohayo
  2. Destinylady

    JamiiForums Tanzania Tanzia: Mwanachama mwenzetu wa JamiiForums, Msamiati afariki dunia

    Rest in peace fellow member
  3. Destinylady

    JamiiForums Tanzania Ina maana gani kuning'iza|kutundika viatu juu ya nyaya za umeme mitaani?

    Mi mwenyewe nimejua leo. Yani naonaga hivyo viatu lakini sielewagi maana yake. Asante mtoa habari umetutoa gizani tuliokua hatujui
  4. Destinylady

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ana miaka 36 lakini nampenda sana

    Achana na huyo mwanamke usije ukafa kabla ya umri wako aisee
  5. Destinylady

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nahisi sina bahati

    nimejaribu hizo njia zote lakini wapi
  6. Destinylady

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nahisi sina bahati

    nakwambia ni shida mbona
  7. Destinylady

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nahisi sina bahati

    Habarini wandugu. Mwenzenu nina tatizo ambalo linanikosesha raha kwa kweli kila ninapokuwa na mahusiano hayadumu kabisa na sielewi tatizo nini. Nikijitazama nipo mrembo, mcheshi na sina makuu. Na nasifiwa kwamba mapenzi nayajua lakini hakuna wa kunijali. Kunithamini wala kunipenda kama...
  8. Destinylady

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sijawahi pata mwanamke chini ya umri wangu japo mimi mdogo

    Mshukuru Mungu cause hao wanawake wa age unazotaka ni pasua vichwa. So hapo upo kwenye mikono salama na ukumbuke mapenzi hayaangalii umri
  9. Destinylady

    JamiiForums Tanzania Wafahamu mastaa wa kike Bongo Movie wenye mvuto zaidi

    Hapo labda Lulu na Batuli jumlisha na Uwoya, hao wengine wakawaida tu
  10. Destinylady

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Fanyieni usafi nywele zenu za bandia

    Sio wote jmn
  11. Destinylady

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Zifuatazo ni dalili za mwanaume asiye na pesa

    Wanaume wa aina hii warudi tu vijijini wakalime
  12. Destinylady

    JamiiForums Tanzania Wema afunga ndoa bomani, amficha mume wake

    Amenyooshwa akanyooka. Kwishwa jeuri yake
  13. Destinylady

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nahitaji marafiki kwa wakazi wa Singida

    Habari za leo ndugu zangu, Mimi ni mkazi wa Arusha ila kwa bahati nzuri nimepata kazi mkoani Singida, kutokana na ugeni napenda kupata marafiki waliopo Singida mjini, na pia wawe watu wazima umri kuanzia miaka 35 na kuendelea. Kwa watakaopenda wani PM, Shukrani
  14. Destinylady

    JamiiForums Tanzania Nisaidieni mawazo/ mbinu, nina hulka ya kukosa kujiamini ghafla

    Pole sana mtoa uzi. Ila mi nikutie tu moyo japo kidogo, kwamba kama umeweza hata kuandika huu uzi hapa jamvini basi una confidence kwa hyo anza kujiamini tu
Back
Top Bottom