we ndio una safari ndefu ni kweli hakuna watumish wa uma ni wa uma si wa chama maana wanatumikia watu wa vyama vyote kwani hao wa chama hawatoshi kuja kukaba watumishi koo lazima wawe wanachama?grow up!Tuacheni uchama hatutaendelea kwa ustaarabu huu
hahahah hasara wakati wameshajiestablish vya kutosha hasara zipo kwenye business na pia kuna kuinuka pia so usitegemee in any how mtaipiku labda kwa east africa tu lakini hasara ya KQ si kama ya Air Tanzania hata kwenda mtwara ilikua shida.Nyie mpaka muanze kujikita kwenye soko wenzenu mnadhani...
Dont buy taht shit at all she is dating someone else bro.Nothing of that kind happen by chance.My advice is dont rush to conclusions that can impact your family .Just take it with you and keep on investigate for sometime and get accurate evidence and come up with desicions.
hahahaha kabisa sasa sijui kubana mianya na kuongeza kodi kuna uhusiano gani.Kama lengo lilikua ni kuokoa pato then kwa nini kodi iomgezwe ?isibaki ileile tuendelee kuatract wenye clean bsiness?
watu kukosa hela kabisa ni sifa si kuwaletea watu umskini usio na sababu nawahurumia wale wa mlo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.