Wasomi waponda hotuba ya Magufuli Dodoma

Mkuu kama huyo ni professor basi tuna safari ndefu!!

hivi msomi gani asiyejua kuwa hii ni selikari iliyochini ya CCM??
Naiomba serikali baada ya kufungia vyuo femi kudahili wanafunzi sasa nguvu hiyo ielekezwe kwa walimu wa vyuo vikuu maana hao ndio chanzo cha ujinga kama wa profesa huyu!
 
Wasomi huongea kwenye makongamano, hizo ni porojo tu, kwanza mwandishi hajatuambia aliwahoji wakiwa bar au wapi?
 
Mim hawa wanaojiita wasomi wakati mwingine siwaelewi kabisa. Mbona hotuba ya Rais ilikuwa poa tu na iligusia vitu vya msingi kama kukomesha rushwa ndani ya chama.
 
Mkuu kama huyo ni professor basi tuna safari ndefu!!

hivi msomi gani asiyejua kuwa hii ni selikari iliyochini ya CCM??
Serikali haiko chini ya Ccm!! Haiitumikii Ccm,hii ni serikali ya watu wote,kwaajili ya wote na imechaguliwa pia nawatu ambao si Ccm. Inabidi tujue kutenganisha chama na serikali maana sera ya chama kimoja ilitupumbazaga.
Sera iloshinda ni ya Ccm lakini utekelezaji Wake shurti upokee mawazo ya wananchi yenyemsingi hatakama si Ccm...ndomana tunakatiba pendekezwa japo haikuwa sera ya Ccm. Na mengine meeengi kwani serikali inawataalamu wengi kuliko hiyo Ccm iliyo na watu Wa siasa zaidi
 
mwongozo wa spika......
kuhusu utaratibu........
taarifa mh supikaaaa!!!
 
Mku...o anapenda kiki uyu jamaa nna wacwac na elimu yakr
 
Serikali haiko chini ya Ccm!! Haiitumikii Ccm,hii ni serikali ya watu wote,kwaajili ya wote na imechaguliwa pia nawatu ambao si Ccm. Inabidi tujue kutenganisha chama na serikali maana sera ya chama kimoja ilitupumbazaga.
Sera iloshinda ni ya Ccm lakini utekelezaji Wake shurti upokee mawazo ya wananchi yenyemsingi hatakama si Ccm...ndomana tunakatiba pendekezwa japo haikuwa sera ya Ccm. Na mengine meeengi kwani serikali inawataalamu wengi kuliko hiyo Ccm iliyo na watu Wa siasa zaidi
Uko sahii kabisa lakini ukumbuke katiba iliyopo labda ibadilishwe kwanza ndo uje na kuongea ulichokiongea
 
Wasomi na wadau mbalimbali wa siasa wameponda hotuba ya Magufuli aliyoitoa Dodoma alipokuwa akikabidhiwa uenyekiti na Jakaya Kikwete

Mojawapo ya wasomi hao ni lecturer wa chuo kikuu cha Ruaha (RUCU) Prof. Gaudence Mpangala akisema kuwa haikuwa sahihi kwa Magufuli kutangaza Dodoma kuwa watumishi wote wa umma lazima wawe chini ya CCM alisema ''Watumishi wa umma hawapaswi kuwa chini ya chama cha siasa hata kama ni chama tawala, Magufuli hakuwa sahihi, CCM inapaswa kutimiza ilani yake lakini sio kwa njia ya kuwaingilia watumishi wa umma''
Naye Profesa Wa UDSM Kitila Mumbo amesema anashangazwa na kitendo cha mwenyekiti huyo wa chama kupiga marufuku mikutano ya siasa wakati ndio inayowapakuonekana na kusikika na wananchi

Naye mbunge wa Iringa mjini Peter Msigwa amesema jukumu la watumishi wa umma wanasimamiwa na bunge kwa upande wa serikali kuu na madiwani kwa upande wa serikali za mitaa, amesema wanatarajia kuwa ataruhusu mikutano ya siasa ambayo ameipiga marufuku

Naye kiongozi wa ACT Zitto Kabwe amesema ameshangazwa sana na kitendo chake cha kuwatishia kuwafukuza wanachama wanaokikosoa chama

Naye mchambuzi wa siasa kutoka CUF Julius Mtatiro amesema japo amefurahishwa na hotuba hiyo kugusia mambo muhimu kama kuondoa rushwa kwenye chama na kuhamishia makao makuu Dodoma japo kuna mengine hayakuzungumziwa kwa kina lakini ameponda kitendo cha Magufuli kusema kuwa wanachama wa CCM ndio watakua ma boss wa watumishi wa umma
Afu tangu lini Msigwa ni msomi?
 
Wasomi wa leo wanapitwa na wazee waliosoma ngumbaru
 
Mchungaji Msigwa kaingia lini kwenye orodha ya Wasomi Tanzania?
 
Mkuu kama huyo ni professor basi tuna safari ndefu!!

hivi msomi gani asiyejua kuwa hii ni selikari iliyochini ya CCM??
we ndio una safari ndefu ni kweli hakuna watumish wa uma ni wa uma si wa chama maana wanatumikia watu wa vyama vyote kwani hao wa chama hawatoshi kuja kukaba watumishi koo lazima wawe wanachama?grow up!Tuacheni uchama hatutaendelea kwa ustaarabu huu
 
Wasomi na wadau mbalimbali wa siasa wameponda hotuba ya Magufuli aliyoitoa Dodoma alipokuwa akikabidhiwa uenyekiti na Jakaya Kikwete

Mojawapo ya wasomi hao ni lecturer wa chuo kikuu cha Ruaha (RUCU) Prof. Gaudence Mpangala akisema kuwa haikuwa sahihi kwa Magufuli kutangaza Dodoma kuwa watumishi wote wa umma lazima wawe chini ya CCM alisema ''Watumishi wa umma hawapaswi kuwa chini ya chama cha siasa hata kama ni chama tawala, Magufuli hakuwa sahihi, CCM inapaswa kutimiza ilani yake lakini sio kwa njia ya kuwaingilia watumishi wa umma''
Naye Profesa Wa UDSM Kitila Mumbo amesema anashangazwa na kitendo cha mwenyekiti huyo wa chama kupiga marufuku mikutano ya siasa wakati ndio inayowapakuonekana na kusikika na wananchi

Naye mbunge wa Iringa mjini Peter Msigwa amesema jukumu la watumishi wa umma wanasimamiwa na bunge kwa upande wa serikali kuu na madiwani kwa upande wa serikali za mitaa, amesema wanatarajia kuwa ataruhusu mikutano ya siasa ambayo ameipiga marufuku

Naye kiongozi wa ACT Zitto Kabwe amesema ameshangazwa sana na kitendo chake cha kuwatishia kuwafukuza wanachama wanaokikosoa chama

Naye mchambuzi wa siasa kutoka CUF Julius Mtatiro amesema japo amefurahishwa na hotuba hiyo kugusia mambo muhimu kama kuondoa rushwa kwenye chama na kuhamishia makao makuu Dodoma japo kuna mengine hayakuzungumziwa kwa kina lakini ameponda kitendo cha Magufuli kusema kuwa wanachama wa CCM ndio watakua ma boss wa watumishi wa umma
Kitu pekee kizuri alichokisema Magufuli ni kuhamia Dodoma , Hapo wengi wanamuunga mkono kutokana na jiji la Dsm kufurika watu na Magari hivyo kuzalisha , taka , Moshi na foleni zisizokwisha ambazo zimekuwa kero kubwa sana .
 
Back
Top Bottom