Uganda Airlines kuanza na safari za kimataifa

mhanga wa choyo

New Member
Jul 17, 2016
2
0
Wakuu katika kupekua pekua nimekutana na huu mchakato

upload_2016-7-26_9-58-56.png

proposed Routing
Base: Entebbe (EBB)
Routing: JNB, DXB, LGW, CAN, BOM via DAR as secondary Hub
Cycle Ratio: 4.5: 1
Utilization: 300BH per month
Equipment: Airbus 340-300
Quantity: 2
 
Attachments

  • upload_2016-7-26_9-57-55.png
    upload_2016-7-26_9-57-55.png
    8 KB · Views: 219
Kama ni kweli basi na sisi punde tukakua hewani I.C.A.O walitupenda kweli kipindi kile tulikua hatuchepushi kama wale nya'n... ,eti Hatuna national carrier sasa soon ndani ya sitting room watakimbia walio chumbani baada ya kutoes pumb..v wale God Bless our Aviation plan
 
Mkuu umeandika makoronkoncho... andika tena
 
EAC si ile tena iliyokuwa ikitawaliwa na KQ siku za karibuni kila nchi itakuwa na shirika lake la ndege.Tutaheshimina tu.
 
Kama ni kweli basi na sisi punde tukakua hewani I.C.A.O walitupenda kweli kipindi kile tulikua hatuchepushi kama wale nya'n... ,eti Hatuna national carrier sasa soon ndani ya sitting room watakimbia walio chumbani baada ya kutoes pumb..v wale God Bless our Aviation plan
Hey start that airline first then hurl barbs later.
 
Hahahahaha awali ni awali tu wenzenu washameza soko you will never hit them nyie ndo mnakumbuka shuka jogoo kawika ndo mnasema tutaheshimiana hahaha

KQ inaendeshwa kwa hasara wakati Uganda na Tanzania hazikuwa na mashirika ya ndege yenye kutoa ushindani sasa ushindani unakuja sijui kama mtaweza kushindana maana mlizoea soko lisilokuwa na ushindani.
 
hahahah hasara wakati wameshajiestablish vya kutosha hasara zipo kwenye business na pia kuna kuinuka pia so usitegemee in any how mtaipiku labda kwa east africa tu lakini hasara ya KQ si kama ya Air Tanzania hata kwenda mtwara ilikua shida.Nyie mpaka muanze kujikita kwenye soko wenzenu mnadhani watakua wamelala just sit and watch.
 
KQ inaendeshwa kwa hasara wakati Uganda na Tanzania hazikuwa na mashirika ya ndege yenye kutoa ushindani sasa ushindani unakuja sijui kama mtaweza kushindana maana mlizoea soko lisilokuwa na ushindani.
Start your own airlines first then we see how much competition you will present if any.
As it is your post is akin to that of a child promising what to do when grown up.
 
Start your own airlines first then we see how much competition you will present if any.
As it is your post is akin to that of a child promising what to do when grown up.

Wananishangazanga hawa!......tabidi tuchukue popcorns ...haya, yetu macho!.....kama vitoto tu!...wivu ya kishenzi,
Jamaa mmoja mmarekani kasema waafrika ni nuksi, badala ya kujiunga na ndunguye aliye na ahueni akajifunze naye akajisongeze mbele ,yake kumburuza na kumvuta chini nduguye kila kukicha.....mwishowe hamna anaye faidi.....ni sheeedah!
Afrika mashariki ingalikuwa bora wakanunue shares wote ndani ya Kenya airways na kuunda East African Air!

Tabu tupu!
 
Tim Choice, ni bora kila nchi ikawa na airline yake hata kama size ya ndege 10! Prospects za Uganda na Tanzania kwenye airline ni kubwa! Esp. Tanzania (size n rapid growth in airport infrastructure) coal, soda ash, tourism n gas economy coming up in next 10 yrs. Whereas for Uganda that massive oil means serious movement in n out of Kampala.
 
Geza!
It would be an opportune moment for a savy businessman to buy shares there now,to have a major if not a controlling stake!
better start from a fresh it is too risky to buy a company that is cronic with loss making! public trust has wanned off...
 
Back
Top Bottom