Recent content by Desidii

  1. Desidii

    Wapo wapi wakongwe wa nyenzi.com

    Kweli kabisa
  2. Desidii

    Wapo wapi wakongwe wa nyenzi.com

    Hapo kwenye bluu tu ndio nimepapenda. Si kwa ubaya lakini
  3. Desidii

    Wapo wapi wakongwe wa nyenzi.com

    Hivo eehhh safi sana
  4. Desidii

    Mwanza vs Nakuru

    Huwezi fananisha Mwanza na Nakuru hata kidogo...... ningekuelewa ungesema Mwanza vs Kisumu hapo sawa muwe mnatembea sio kukariri........
  5. Desidii

    Mwanza vs Nakuru

    Kuna picha hapa imenikumbusha mbali sana na kunifanya niwe mnyonge "Bad Memory" kwa hiyo hotel those days....ie 1992
  6. Desidii

    Hakika Pasco alikuwa sahihi kuhusu Magufuli

    Mtamuelewa tuuuuu Uncle Magu hapa kazi za mazoea kwishney poleni mtakaokumbwa......
  7. Desidii

    Makapuku Forum

    Makapuku Oyeeeee!!!!!!
  8. Desidii

    Mahari ni Jukumu la nani?

    Inabidi nikae chonjo kwa kweli naona hali si nzuri asante
  9. Desidii

    Happy Birthday KOKUTONA

    Hbd KOKUTONA
  10. Desidii

    Mahari ni Jukumu la nani?

    Kwanza habari zenu nimewamisi sana kitambo sijatia timu hapa. Hii imenitokea mimi mwenyewe na kunikosesha raha kabisa. Wiki kama mbili hivi tulipata barua ya uchumba ya mtoto wa dada yangu tunaishi nae kwa wazazi wangu baada ya dada kufariki. Wazazi waakaijibu vizuri haikuchukua muda...
  11. Desidii

    mods wakianika PM zetu......

    Sijawahi kuandikia PM.
  12. Desidii

    Dena Amsi na Mr Rocky

    Kuachwa ni mbaya sana
  13. Desidii

    mods wakianika PM zetu......

    Afadhali mimi sijawahi kuandika PM
  14. Desidii

    MSAADA: Binti Mrembo anatembea na Kaka Mwathirika lakini hajui!

    Mtoa Mada kwa ushauri wangu mdogo tu ongea na kaka yako huyo msichana achana naye
  15. Desidii

    Wasifu wa wana MMU Kuelekea katikati ya mwaka 2013

    Ndugu umetisha aisee hongera sana
Back
Top Bottom