MSAADA: Binti Mrembo anatembea na Kaka Mwathirika lakini hajui!

Wewe mleta mada umepima?

Je una uhakika gani na huyo binti kama hampi maambizi mapya kaka yako? hizi ni dalili za kukosa kazi ya kufanya na kukalia majungu?

Hakuna hata kitabu kimoja cha dini kinachoruhusu zinaa na kufanya mapenzi kabla ya ndoa, mshahara wa dhambi ni mauti, mind your own business.

what if this is the part of his?her bussiness!!!!!
 
Wakapime wote. Hatuwezi kujua nani mwathirika na nani mzima
but so far tunamjua at least mmoja, huyo mmoja amwambie mwenzie
Mtoa mada ya leo anatakiwa kuwashauri wote wawili wakapime tu
The question still there, je yeye amepima?

Hivi tunafahamu kwamba American HIV test kuna vipimo vitatu ambavyo kila kimoja kinahakiki chenzake kilichoanza? je mnakumbuka kesi iliyomalizwa nje ya Mahakama kati ya Agha Khan hospital na mteja wao ambaye walimpima na kugunduliwa ana maambukizi, lakini alivyokwenda kupima AMREF akagundulika hana maambukizi?
 
As much as that looks like an interesting case (and topic for debate)
sidhani kama HIV status ya mtoa mada ni condition for him to talk about other people status
He is concerned about one of the partners, yeye awe HIV+ or HIV-, yanahusikaje hapa?
 
i agree with AshaDii, mwambie huyo dada. imagine ur sister awe na +ve boyfriend bila kujijua, its very unfair for her. akijua ataweza kufanya informed decision ya kuhusu huyo kaka, she can even take extra precautions kujilinda and utapata thawabu kwa Mungu
 
Last edited by a moderator:
Kwa kizazi chetu ni muhimu sana kufanya HIV test kabla new relationship haijanoga,,, mnaamua tu mnaenda angaza pamoja mjue mnaanzia wapi...

Kama kweli unampenda utamlinda
 
Mtoa Mada kwa ushauri wangu mdogo tu ongea na kaka yako huyo msichana achana naye
 
Huna uhakika kama Kaka yako alitumia Condom, ninachokiona kama utamwambia huyo binti kwa namna yeyote ile at the end atarudi kwa Kaka yako nakumwambia ulivyomwambia, nilishawahi kupata lawama hapo nyuma kwa issue kama hiyo nikaonekana nataka nivunje Mapenzi ya watu, kama ungekua na uhakika huyo binti hajafanya tendo la ndoa na Kaka yako ningekushauri umwambie kwa vile sivyo, kaa kimya cuz Dada zetu wanajitakia wenyewe, si ajabu ana ka-bf kake na kilichompeleka hapo ni Pesa tu, huwa hawajifunzi hata kwa mifano ya watu wengine mpaka iwatokee wao na ndo wanakua wamechelewa!
 
haya mambo ni mazito sana...
nimegundua kadiri siku zinavyoenda, watu hawaogopi kabisa HIV, yaani wanapoanzisha mahusiano mapya hili jambo wala hawalipi mtazamo wowote ule, so sad, lakini ndo hali halisi.
Huyo binti kama kuna mtu wa karibu sana naye, ambaye ni mtu mzima kidogo unaweza kuongea naye kumwambia aongee na binti kuhusu uwezekano wa kupata maambukizi ya HIV. unaweza usimwambie status ya huyo kaka, mwambie tu kama kuna uwezekano aongee na mwenzie wakapime kabla hawajafika mbali, ili walindane. ukimwambia status ya mkaka inaweza kuleta ugomvi kati yako na huyo kaka, na binti anaweza akaichukulia kivingine.
Njia nyingine kama huyo kaka ana utu, unaweza kumshauri ajifanye hajui status yake na amwombe mdada wakapime pamoja ili apate ukweli kutoka kwa wataalamu, inaweza kusaidia binti kuona kuwa mkaka ameamjali. hii haitakuwa rahisi sana lakini unaweza kujaribu.
 
MKATA KIU love this, kuanzisha mahusiano bila kupima hiv kwa miaka ya sasa sio kitu kizuri,,, kama kweli unampenda utamlinda..
 
Last edited by a moderator:
Mweleze huyo bint mrembo wa watu jaman kabla hajafikia hile hatua ya kusema ni wewe tu mm nakuami sina wasiwasi bby
 
Kukaa kimya ni kushiki katika dhambi aifanyayo kaka yako
Watanzania hali ya Ukimwi inaogofya, unaweza tu kufikiria kidogo binti wa umri huo, most likely atakuwa na ki-boyfriend somewhere...sasa fikiria maambukizi yanavyosambaa hapo...
 
MKATA KIU love this, kuanzisha mahusiano bila kupima hiv kwa miaka ya sasa sio kitu kizuri,,, kama kweli unampenda utamlinda..
bahati mbaya sana ni wachache wanaoambizana kuhusu kwenda kwa wataalamu kupima
wengine wooote wanapimana kwa macho......
wakiona binti kajazia wanajua yupo fit, kijana mtanashati hawezi kuwa HIV +ve......
bado tuna safari ndefu sana ya kuelimisha umma kuhusu hili swala
 
Kwa kumpenda ungemwambia huyo binti mapema umechelewa ndugu,na kumbuka kuleta huja zenye maana huku tafathali.Huyo mwanafunzi nani kamfundisha mapenzi wakati sasa agetakiwa awe shule?akija kuolewa atafanya nini sasa au ataguswa upande upi ambao utakuta hajaguswa?hii ndio shida ya wadada wengi wa siku hizi
 
Jitahidi upate namba yake halafu tumia namba ambayo imesajiliwa kimagumash then mtumie sms hii
"Habari dada,napenda kukufahamisha huyo kaka unayetembea nae ameathirika nenda kapime nae kama umeathirika endelea nae kama bado mkimbie"
 
Unapaswa kumwambia huyo msichana ukweli kuhusu afya ya kaka yako. Unachoogopa ni nini? Binti akiathirika na VVU ujuwe damu yake itakuwa juu yako!!!!!!!!!
 
Unapaswa kumwambia huyo msichana ukweli kuhusu afya ya kaka yako. Unachoogopa ni nini? Binti akiathirika na VVU ujuwe damu yake itakuwa juu yako!!!!!!!!!

Binti akiathilika na VVU, damu yake itakua kwake mwenyewe, kwani ali2mwa?
 
Back
Top Bottom