Ni ukweli usiopingika sasa kuwa Serikali yetu haiko kwa maslahi ya taifa hili. Mimi kama mwananchi sioni kabisa usalama wangu katika suala lolote lile hapa nchini kwangu. Ukienda kwenye afya ni yaleyale, ukienda kwenye usalama it's becoming worse day by day. Sasa hili la matokeo ya aibu kutolewa...
Tunashukuru kwa malumbano hayo mmetusaidia kujua angalau kinachoendelea. Na kwa kweli hiyo ndiyo demokrasia. Viongozi wanachopaswa ni kuhakikisha tu situation hiyo inakuwa handled kwa busara lakini sio kumshughulikia mtu kwa kutoa maoni binafsi. Msikandamize uhuru wa mtu kujieleza. Watanzania wa...
Au mimi ndio sielewi nini?! Hivi kuna tatizo gani mtu kutangaza nia ya kugombea nafasi fulani ya kisiasa, ikiwa mchakato wa kumpata mgombea uko wazi na utafanyika kidemokrasia? Unless mniambie kuwa wanaofanya uteuzi wa wagombea sio watu makini na hawawezi kuteua mgombea kutokana na sifa zake...
Naungana na Mama Bisimba; Ifike mahali tuchoke kutoa matamko yasiyo na matokeo. Mlio katika nafasi tuongozeni namna ya kuchukua hatua juu ya unyanyasaji huu. Wengine imefikia mahali tunaogopa polisi kama miungu, maana kumbe wanaweza kuamua kuhusu uhai wetu
Watanzania tukiacha uoga wa kuambiana ukweli tunaweza kuikomboa nchi hii. Tuna tabia ya kufuata mkumbo hata kama mkumbo huo unatuumiza sisi wenyewe. Wabunge wa CCM iokoeni Tanzania jamani, acheni kushabikia siasa.
Ni kweli kuwa hakuna msafi, lakini nadhani nchi hii tunachohitaji ni 'TOTAL OVERHAUL' of the existing system. Yeyote atayeingia kwa tiketi ya CCM ata-tend kumaintain some things/people, maana kumbuka atakuwa anatekeleza matwaka ya chama. Ni kweli pia CDM wapo ambao si safi, lakini kinachotufanya...
Kuna mawili kwa yeyote ambaye anang'ang'ania kubaki ndani ya CCM hata awe msafi namna gani. Kwanza: Anafurahia huo uchafu ulioko ndani na kukubaliana nao; AU: Ni mbinafsi, anajali maslahi yake zaidi kuliko maslahi ya nchi, kwa maana kwamba uchafu wa CCM anafaidika nao, na anaogopa kupoteza faida...
Mbona nimeona kwenye Michuzi blog wamepost picha kashika kitabu cheusi, hicho kilikuwa kitabu gani. Jamani wanaJF tafadhali tuwe tunachunguza habari kabla ya kuitupa humu jamvini maana kuna maelfu ya watu tunaotegemea jamvi hili kama reliable source of information.
Hivi kweli jamani, pamoja na kukua kwa teknolojia, haiwezekani angalau kwa kura ya rais mtu akapiga kwenye kituo chochote. Maana wengi hawakupiga kura kutokana na kutokuwepo kwenye vituo walivyotakiwa kupigia kura
Nadhani CCM pia itakuwa imetumia mwanya wa CHADEMA kutokuwa na mawakala wa kutosha au makini hasa huko vijijini wenye uwezo wa kung'amua janja ya uchakachuaji na kusimama kidete kutetea haki
Ee Mwenyezi Mungu, Ninawaombea wale wote walio na nia ya kuiba au kuchakachua kura kwa namna yeyote ile ili kutowapa watu walio wengi kiongozi wanayemtaka waamke jpili wakiwa na ugonjwa wa kuhara, kila baada ya dakika mbili watakiwe kwenda ****** ili wasipate muda wa kufanya ufedhuli wao... Amen
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.