Recent content by Descartes

  1. D

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua tofauti ya kipawa na karama

    "Sio lazima uelewe!"
  2. D

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua tofauti ya kipawa na karama

    Talent and charisma?My guess,though.
  3. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jamani acheni,wanawake wakinyamwezi nimewavulia kofia

    Ukimsoma vizuri utamuelewa. Amesema ni mtoto wa baba yake mkubwa (ambaye ndiye marehemu).
  4. D

    JamiiForums Tanzania Guardiola ameiumbua E.P.L

    Hahaha!Sio kwamba nimecheka kwa furaha ila ijulikane kwamba wengine walipitia hayo pia Man City they are no exception,so to speak.
  5. D

    JamiiForums Tanzania Tuzo ya Samatta yafutwa

    Asante,mkuu kwa darsa lako.(Una ustaarabu pia).
  6. D

    JamiiForums Tanzania Tuzo ya Samatta yafutwa

    Afadhali unayejua umeongea.Subiri malipo yako.
  7. D

    JamiiForums Tanzania Tuzo ya Samatta yafutwa

    Mkuu,kwa kumbukumbu zangu,jibu ni hapana.Tangu atwae hawajawashindanisha tena wachezaji wa ndani ya Afrika.
  8. D

    JamiiForums Tanzania Tuzo ya Samatta yafutwa

    Kwa maana hiyo Mbwana Samatta anaendelea kuwa mshindi wa tuzo hiyo hadi watakapo amua vinginevyo.(This is Africa!)
  9. D

    JamiiForums Tanzania Waziri Mwigulu Nchemba kuzindua kampeni za Chama Cha Mapinduzi ktk Jimbo la Longido

    Labda. Ila yawezekana anaandika hayo akiwa nchi nyingine... (Nawaza tu kwa sauti).
  10. D

    JamiiForums Tanzania Guardiola ameiumbua E.P.L

    Sitaki waumie ila hayo ni maisha ya soka
  11. D

    JamiiForums Tanzania Guardiola ameiumbua E.P.L

    Sitaki waumie ila hayo ni maisha ya soka
  12. D

    JamiiForums Tanzania Guardiola ameiumbua E.P.L

    Kiongozi ninamaanisha majeruhi yatakayo gusa moyo wa timu :D Bruyne, Silva et al.
  13. D

    JamiiForums Tanzania Gigy money- nampa papa ndo wimbo wng bora kwa mwaka 2017

    Naunga mkono hoja...
  14. D

    JamiiForums Tanzania Guardiola ameiumbua E.P.L

    Mbona wakati huu timu nyingine wanaumia ila Manchester City hawaumii? Inaweza ikatokea kwao pia...
  15. D

    JamiiForums Tanzania Special thread: Vikaragosi vya Masoud Kipanya

    Hahaha! Usiseme hivyo ndo tunaponea humo humo...
Back
Top Bottom