Ta Kamugisha
JF-Expert Member
- May 17, 2011
- 3,550
- 2,200
Ni wazuri kweli hasa Kitandani kwa ' Kubaiolojiana ' ila ni Wachawi hakuna mfano Afrika, Ulaya, America, Asia na Middle East nzima. Nina Kaka yangu Mtoto wa Marehemu Baba Mkubwa huko Mwanza alikuwa ni Bosi Benki moja ambayo kwa hapa Dar es Salaam Makao Makuu yake yanatazamana kabisa na Bahari maeneo ya Bandarini ambapo jirani yake kuna Ofisi za Kampuni za Uuzaji wa Magari ya TOYOTA huku jirani yao tu kukiwa na iliyokuwa Ofisi ya Mama aliyehamia rasmi Makao Makuu Mkoani Dodoma.
Kaka yangu huyo pamoja na Ubosi wake aliokuwa nao huko Benki lakini alikuwa akirudi Kwake anapika, anafua nguo na mshahara wake wote ukitoka tu anamkabidhi huyo Shemeji yangu Mnyamwezi aupangilie na ' Likaka ' langu nalo likawa lipole tu.
Nasi tuliamua kuchukua hatua hiyo hiyo ya Kiutamaduni ya African Traditional Science aliyokuwa akiifanya Shemeji yetu huyo Mnyamwezi ili tuweze Kumuokoa Kaka yetu na ambapo tulifanikiwa vilivyo kwani duniani Kote katika Kabila ambalo ama halirogwi au halirogeki hata ufanyeje na linajua ' Ulozi ' Tanzania nzima ni la Kizanaki au Wazanaki hivyo Kaka yetu tulimuagua akapona na hadi Shemeji yetu huyo akatuomba radhi na maisha yao yakaendelea hadi hivi sasa.
Wanyamwezi bhana!!!!!!!
Kwenye conclusion....maisha yao yakaendelea hadi hivi sasa.......juu unasema kaka yako ni marehem!
Hatari sana au alifufuka?