Recent content by DERRICK MALIMA MBAKU

  1. D

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi(madereva 4)

    Ciwaye Trading Co. Ltd inatangazia umma wanatoa nafasi kazi 4 za madereva wa malori ya mizigo Sifa 1. Awe na vyeti vyote vya mafunzo na leseni halali 2. Awe hajashiriki kosa lolote la kijinai 3. Awe hana tabia za ulevi muda wa kazi 4. Awe na tabia ya kufanya kazi kwa kutunza muda 5. Awe...
  2. D

    JamiiForums Tanzania KAZI ZA UDEREVA

    MADEREVA WA MAGARI MAKUBWA (NAFASI 2) CIWAYE TRADING COMPANY Limited ni kampuni inayouhusika na usafirishaji wa mizigo tofauti ndani ya nchi. CIWAYE TRADING COMPANY Limited inahitaji madereva wenye WELEDI, USOEFU NA UADILIFU wa hali ya juu usiotiliwa shaka na mtu au taasisi yoyote ndani na nje...
  3. D

    JamiiForums Tanzania Natafuta Mhasibu

    Natafuta Mhasibu mwenye uwezo wa kutimiza majukumu yafuatayo kwa utimilifu:- Kuandaa taarifa za mauzo na malipo -kufuatilia malipo yaliyofanywa na wateja kwa bidhaa au huduma tulizotoa. Pia kuunda na kufuatilia ankara za wateja na kuhakikisha malipo yanafanywa wakati ununaofaa. kuandaa taarifa...
  4. D

    JamiiForums Tanzania Mhasibu Mpya (NEW CIWAYE WORKSHOP)

    Awe na elimu ya diploma Awe na uzoefu wa ajira wa miezi 24 katika fani uhasibu Awe na makazi ya kudumu Dar es salaam
  5. D

    JamiiForums Tanzania Wazazi wenye Watoto wa Secondary wa Shule za Dar Kagueni Mashavu ya Watoto wenu kwani kuna Mmoja nimemuadabisha Kimara Stendi Juu Darajani leo

    Mkiwakuta wanatukana muwapige ndio ila pia mkiwakuta wananyanyaswa na makondakta kwa kunyimwa usafiri wa kurudi majumbani muwasaidie maana kwa kukaa sana mtaani bila kurudi nyumbani ndio eneo wanalojifunza matusi
  6. D

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tundu Lissu: Nimepokea vitisho vya kuuawa. Wanachama wawasindikize wagombea Ubunge na Udiwani kuchukua fomu NEC

    Wapinzani punguzeni lawama,mara nyingi lawama ni ishara ya kushindwa
  7. D

    JamiiForums Tanzania Laini ya lipa M-Pesa inaweza kuchukua milioni ngapi hadi kufikia ukomo wa miamala?

    Mkuu upo vizuri sana nafikiri ulitakiwa uwe mwalimu yaani unaelekeza mtu kiasi cha kuuliza anakikosa kwani umegusa kila mahali
  8. D

    JamiiForums Tanzania UBAKWAJI WA TELEZA: Mtuhumiwa wa ubakaji wa TELEZA akamatwa Kigoma

    Kweli watanzania haturidhiki kila lawama, mnataka serikali ifanyaje??
  9. D

    JamiiForums Tanzania Basi la Kampuni ya Fikoshi lagonga tembo eneo la Kitengule mkoani Kagera

    Tuwe makini tuendeshapo barabarani, kuwa leseni pekee hakutoshi.
  10. D

    JamiiForums Tanzania Morogoro: Wafanyakazi tisa wa LTSP[Wizara ya ardhi], wafariki kwenye ajali Kilombero

    Nasikia kuna marehemu wanatoka familia moja??
  11. D

    JamiiForums Tanzania Mahakama ya Afrika Mashariki Arusha: Muendelezo wa kesi ya kuhoji uhalali wa muungano

    Mwisho wa maamuzi yao huwa ni ushauri tu ambao unaweza kuchukuliwa au kupuuzwa, mahakama za Tanzania zinatosha kabisa
  12. D

    JamiiForums Tanzania Mafanikio ya Rais Magufuli 2015 - 2021

    Hapa hatupigii kelele ubinafsi, tunatazama utaifa ndio hayo magufuli anayafanya kwa mtazamo wa kitaifa zaidi
Back
Top Bottom