WAKO WAPI WATU WAKO
JF-Expert Member
- Sep 26, 2017
- 2,375
- 3,140
Mngoni
Huyo tembo in kabila gani
Huyo tembo in kabila gani
Sweet Africa pale KitongaWiki hii ipite tuu ajal nyingi sana
1-fukoshi
2-mtei
3-tahmeed
4-new force
Huyo tembo si chin ya $8000
Million 83 fainiWiki hii ipite tuu ajal nyingi sana
1-fukoshi
2-mtei
3-tahmeed
4-new force
Huyo tembo si chin ya $8000
Wiki hii ipite tuu ajal nyingi sana
1-fukoshi
2-mtei
3-tahmeed
4-new force
Huyo tembo si chin ya $8000
ALIPE SHILINGI MILIONI THELATHINI NA TATU (Shs.33,000,000/=) KABLA YA KUONDOA GARI LAKE.
Nliwah kupita hapo hivi karibuni asee nlimaliza gauge 😅😅 Pametulia sana na barabara nzuri hakuna vibaoHii kesi imuepuke dereva. Sina kumbukumbu kama kuna kibao cha wanyama wala cha 50km/hr baada ya mtaa wa Mwisa ni barabara imenyooka private car zinakimbia 150.
Kwa faini hiyo ya milioni 33 hilo basi litaozea kituoni.Basi la Fikoshi lenye namba za usajili T 872 CJQ linalofanya Safari zake kati ya Karagwe na Mwanza limegonga tembo eneo la Byenturege Kitengure Wilayani Karagwe likitokea Mwanza.
Eneo hilo ni Sehemu ambayo hupatikana Wanyama mbalimbali Kama Swala, Simba, Tembo ambapo hupenda kukatiza licha ya kuwepo kwa alama za Vibao vya tadhali, lakini Magari yamekuwa yakikatiza Kwa kasi.
Hakuna madhara kwa binadamu. Taarifa zaidi tunangoja kutoka mamlaka husika
Kwa Mujibu wa sheria, dereva yeyote wa chombo cha moto akiua au kujeruhi tembo itampasa kulipa faini ya shilingi za kitanzania milioni 33.
Usawa wa Magu huu Cash M33 dooh hatar sanaaisee aliyegonga atalipa hela nyingi mno.... kisheria ni milioni 33 na bado kesi ni kubwa sana hiyo..... DEREVA NI MPUUZI SANA MAANA TEMBO HUTEMBEA KWA MAKUNDI NI NI WANYAMA WAKUBWA....