Recent content by DERIC

  1. D

    JamiiForums Tanzania Nini tofauti kati ya CHADEMA na utawala wa Idd Amin?

    Punguani!!!!!!!!!!!!!
  2. D

    JamiiForums Tanzania Hodi wana CHADEMA

    Karibu mungu azidi kukuongoza ktk mema.
  3. D

    JamiiForums Tanzania Vijana, msifanye makosa kama niliyofanya. Kujiunga na CHADEMA ni sawa na kucheza karata tatu!

    Nakupa pole sana ndugu,kwa jinsi unavyojitahidi uonekane uko timamu lakini mtu makini hahitaji kuumiza sana kichwa kuelewa ni kitu gani unakiitaji toka ccm nadhani ni ubunge,lakini unapoteza muda wako bule wewe.
  4. D

    JamiiForums Tanzania Mapya CHADEMA, video zaidi zanaswa

    kweli ndugu hakuna cha maana wanachojenga hapo zaidi ya majungu na visa.
  5. D

    JamiiForums Tanzania Serikali yajibu mapigo: Mikataba yote kuwekwa wazi mtandaoni

    Sidhani kama nikweli iyo ni ngumu kama WASIRA kupenya kwenye tundu la sindano.
  6. D

    JamiiForums Tanzania Nani Anapakumbuka Hapa?

    Nilikuwa na mke wa mtu nilishituka nikazani ndio nimefumaniwa!!!!!!!!!!!
  7. D

    JamiiForums Tanzania CHADEMA na polisi katika mtifuano mkali

    pole sana ndugu huo uwekezaji wanaokuja kuwekeza unaelewa vizuri wanavyoingia mikataba mibovu na viongozi wezi,walafi wasiyo na chembe ya huruma na nchi na wananchi,kwa hiyo hao unaosema wawekezaji wanaiba mali ya hii nchi kwa sababu ya viongozi wetu mambumbumbu kwa iyo ndugu haki inadaiwa haiombwi.
  8. D

    JamiiForums Tanzania Nakala ya karatasi na mwandiko wa Lwakatare wakati anatoa maelekezo hii hapa

    NAONA WEWE UNAFAA KUISAIDIA POLISI KTK HILI SAKATA HIZO KALATASI ULIELEZE JESHI ULIKOZITOA.:lying::lying:
  9. D

    JamiiForums Tanzania Picha na matukio: Ziara ya Kinana China, akifanya mazungumzo na viongozi wa CPC

    Hakuna jipya hapo zaidi ya kufuja pesa za wananchi hao ni watalii kama kawaida yao!
  10. D

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti tume ya uchaguzi Kenya (35yrs) alistahili kupata wadhifa huo?

    NILIKUWA SIJUI KUMBE DR. SLAA NI MWENYEKITI TUME YA UCHAGUZI.:shut-mouth::shut-mouth:
  11. D

    JamiiForums Tanzania Ushauri wa bure kwa Shonza!

    kama jini vile.
  12. D

    JamiiForums Tanzania Eti ataongea na wazee wa dar ess alaam: hivi hawa wazee si wanaona nchi ilivyo sasa?

    Akaongee kwanza na wale wazee wastaafu wa E.A.RAILWAY wanaolala pale nje ya fensi.
  13. D

    JamiiForums Tanzania Tanesco Iringa: Ajali Kazini ama Uzembe Kazini?

    Alipona
  14. D

    JamiiForums Tanzania Waziri Bernard Membe na Hotuba ya Kiingereza Uzinduzi wa Mwai Kibaki Road

    Lugha yetu ya Taifa ni hipi?
  15. D

    JamiiForums Tanzania Mwai Kibaki awadharau watanzania!

    yes,izo ni changamoto
Back
Top Bottom