Maana yangu ya kukushauri usahau kwanza mawazo ya mil 2 kwa mwezi faida nilitaka nikushauri hivi , kwa sasa ni wakati wa mavuno maeneo mbali mbali nchini unaweza kuwekeza fedha kwenye mpunga ni mfano tu ukanunua ukatunza ukauza baada ya miez kama mitano. Hii inaweza kujibu ndoto yako kama...
Yesuu!! Dogo amenikera tu anovofikiri eti akasome ili tu atembelee STK ! Kha! Yaani hutaki kutembelea STK yako utakayopata kutokan na Biashara zako untaka ya Magufuli ankupa funguo anabaki na masterkey akitaka Gari yake anaagiza uirudishe popote ulipo aseee???? Sijakuelewa kabsaaa!! He? Kwanza...
Nafikiri unao mtaji , lakini mtaji pia sio mdogo ila pia sio mkubwa . kila Biashara inahitaji mtaji pesa mtaji wazo ndio wa msingi zaid kuliko pesa, na hapa naona unataka wazo.this is beautiful and interest ing Maswal mengi ya wachangiaji yamejikita kujua were uliwaza nn hadi ukafikiri faida ya...
Sidhani kama ni akili yake mwenyewe, Nina shaka hapa kuna sindicate ,Ngeleja in mwana sheria kwa taaluma , siamini kama anajarubu kufanya asichojua matokeo take kisheria. Anajua fika mbele ya safar kuna bonds au mlima kwanza fikiria pesa hizi zimerudishwa 40.4 mil wakat huo zilishalipiwa kodi...
Sasa umaskini hapa umetoka wapi? Jamani tujiongeze tunapoongelea umasikini tuangalie na tafsiri yake. Umaskini in hali ya MTU kushindwa kupata kipato kina nachowezesha kuyamudu MAISHA yake hata kwa mlo mmoja . sasa wenzetu hawa wamevaa vizuri wana afya njema wanamjua Mungu wanafunga ndoa yao...
Kwanza nikupe pole sana kwa mkasa huu mkubwa uliokukuta. Lakini nikupongeze kwa MAISHA yako mapya ambayo sio rahisi watu kuamini uliyosimulia maana Mungu ni mwema kila wakati. Honestly sikusoma story yote ila nilisoma mwanzo na mwisho, lakini nilipata concept yote. Ninasma haya kwa sababu mm ni...
Nitafute in box 0784247080 usitazame sana mkaa uliouzoea Fanya utafit Sik hizi kuna mkaa aina nyingi . mkaa Wa msituni sio dill tena fikiria mkaa Wa Wa kiwandani pia unalipa
Kimsingi likizo no muhim kwa motto kwani haikutokea tu. Utafiti ulifanyika na ulazima ukaonekana ikiwemo za afya , domestic studies pickniks na kubwa ni kumstress free mtotobili aweze kuanza upya baada ya kipindi fulani.tatizo in mfumo Wetu Wa utoaji elimu ndiyo unaonekana kulega lega kila Mara...
Jamani Huyu mzee alishamaliza kazi ya kitaifa, kama mtawala anaweza yakawa mapungufu hapa na pale lakini kazi alifanya na alishamaliza mwacheni apumzike, sasa mwenzetu kapata tenda ya kusambaza cement yenye uwezekano wa kukodi malory yetu madereva wataoat kazi mafuta na vilainish tutauza...
Mapendekezo , kila shule au chuo kiandae vazi ,au baige maalum zutazivaliwa na wahitimu wao lakin isiwe wala kufanana na joho . joho lipewe heshma yake
Kwa kweli unapotaka kusafisha nyumba lazima uwe na maeneo maalum LA kuanzia na pole pole Luna mengine yatafuatia. Elimu yetu in eneo lililochezewa sana kWa kipindi kirefu. Lilikosa utashi wa kiweledi kijamii hata kisiasa. Sasa kama amepatikana MTU anayeonesha kwamba angalao anaweza kuisafisha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.