Mayai tu ya kuku trei moja ataamua akaange au achemshe..
Sent from my SM-J105H using JamiiForums mobile app
Hili ndo jibu sahihiYupo njia ya Kawe ukifika pale Round about utamkuta asubuhi. Bado anafanya kazi yake kwa tabasamu na furaha kama vile maisha hayana mabonde na milima. Ni baadhi ya watumishi wachache ambao wanaipenda kazi yao hata kama ni ngumu ya kukaa juani. Hongereni askari wetu wote mlioko sehemu mbalimbali mkilinda mipaka ya nchi na sehemu nyingine lukuki.
Sent from my SM-G935F using JamiiForums mobile app
alipata matatizo ndie yule ambaye mwenzie aliuawa kwa risasi pale makutano ya Bagamoyo na barabara ya kuelekea RoseGarden kwenye kibanda walichokua wanapenda kukaa karibu na ofisi za zamani za airtel. Kuna version mbili za story, moja inasema wakati wamevamiwa na mtu aliyeshuka kwenye pikipiki, marehemu alishiriki kupigana, lakini marehemu alipowekwa chini na yeye kupata mwanya, alitoka bomba na kumuacha mwenzie aliyezidiwa na kuuawa. Lakini version nyingine inasema kuwa baada ya yule partner wake kufariki yeye anapitia wakati mgumu, shock ya kushuhudia mkasa mzima. Ila kwa sasa yuko barabara ya Bagamoyo ya Chini pale kwenye roundabout ya kawe, bado ni mzuri vile vile, sema hana space ya kufurahia mbwembwe zake. Hata mimi nampenda, na kwa kuwa ni kijana mdogo, i hope for whatever reason, atapatiwa tena nafasi inayomfaa hiyo ya sasa ni ndogo mno kwake, yule ni mzuri sana sioni hata kama anamori ya kusumbuana na watu kwa kuwasingizia ushuru, he has a big heart mungu amkumbukeKwa Polisi wengi kupelekwa FFU wanaona ni kama adhabu
iyo itakuwa PTSD Post Trauma Stress Disorderalipata matatizo ndie yule ambaye mwenzie aliuawa kwa risasi pale makutano ya Bagamoyo na barabara ya kuelekea RoseGarden kwenye kibanda walichokua wanapenda kukaa karibu na ofisi za zamani za airtel. Kuna version mbili za story, moja inasema wakati wamevamiwa na mtu aliyeshuka kwenye pikipiki, marehemu alishiriki kupigana, lakini marehemu alipowekwa chini na yeye kupata mwanya, alitoka bomba na kumuacha mwenzie aliyezidiwa na kuuawa. Lakini version nyingine inasema kuwa baada ya yule partner wake kufariki yeye anapitia wakati mgumu, shock ya kushuhudia mkasa mzima. Ila kwa sasa yuko barabara ya Bagamoyo ya Chini pale kwenye roundabout ya kawe, bado ni mzuri vile vile, sema hana space ya kufurahia mbwembwe zake. Hata mimi nampenda, na kwa kuwa ni kijana mdogo, i hope for whatever reason, atapatiwa tena nafasi inayomfaa hiyo ya sasa ni ndogo mno kwake, yule ni mzuri sana sioni hata kama anamori ya kusumbuana na watu kwa kuwasingizia ushuru, he has a big heart mungu amkumbuke
Ahahahh mkuu za siku nyingi?
Jamaa safi sanaHuyu muhenga amehamishiwa kawe
Post sent using JamiiForums mobile app
Ni kweli kabisa. Hapo ndio namuona mara nyng nikitokaga ofisi.. Ila kule sijawah ina mbwembwe zake tenaYupo Kawe round about ya Maringo
Sent from my SM-G610F using JamiiForums mobile app
Hapokei rushwa na kulazimisha makosa ka ma mitrafic mingine yenye roho mbaya utafikiri imezaliwa chatoYupo njia ya Kawe ukifika pale Round about utamkuta asubuhi. Bado anafanya kazi yake kwa tabasamu na furaha kama vile maisha hayana mabonde na milima. Ni baadhi ya watumishi wachache ambao wanaipenda kazi yao hata kama ni ngumu ya kukaa juani. Hongereni askari wetu wote mlioko sehemu mbalimbali mkilinda mipaka ya nchi na sehemu nyingine lukuki.
Sent from my SM-G935F using JamiiForums mobile app