Ndalichako piga marafuku watoto kwenda shuleni wakati wa likizo

ibesa mau

JF-Expert Member
Sep 17, 2015
2,113
2,000
Huu ni uzembe kabisa, maafisa elimu msingi wamekuwa wakiwashurutisha wanafunzi wa darasa la tatu na sita kwenda shuleni wakati wa likizo ya desemba, huu ni uzembe . Siku za kwa mwaka mzima zipo 195 , mtoto anahitaji kupumzika ndio maana wakaweka likizo. Mtoto anahitajika kumsaidia mzazi kazi za kilimo ili ajifunze stadi za nyumbani.

Naomba tolea tamko suala hilo wilaya nyingi wanafunzi wa madarasa hayo wanasumbuliwa .
 
mhaka

JF-Expert Member
Dec 22, 2013
472
250
Maafisa elimu walio wengi ni vihio wa madaraka! wamepewa kwa rushwa hivyo wanaogopa kutumbuliwa kwa hiyo wameamua kuvunja sheria ya likizo. ukifuatilia uteuzi wao lazima utaweka alama ya kuuliza!
 
Watu

JF-Expert Member
May 12, 2008
3,230
2,000
Huu ni uzembe kabisa, maafisa elimu msingi wamekuwa wakiwashurutisha wanafunzi wa darasa la tatu na sita kwenda shuleni wakati wa likizo ya desemba, huu ni uzembe . Siku za kwa mwaka mzima zipo 195 , mtoto anahitaji kupumzika ndio maana wakaweka likizo. Mtoto anahitajika kumsaidia mzazi kazi za kilimo ili ajifunze stadi za nyumbani.

Naomba tolea tamko suala hilo wilaya nyingi wanafunzi wa madarasa hayo wanasumbuliwa .
Huu ni uzembe kabisa, maafisa elimu msingi wamekuwa wakiwashurutisha wanafunzi wa darasa la tatu na sita kwenda shuleni wakati wa likizo ya desemba, huu ni uzembe . Siku za kwa mwaka mzima zipo 195 , mtoto anahitaji kupumzika ndio maana wakaweka likizo. Mtoto anahitajika kumsaidia mzazi kazi za kilimo ili ajifunze stadi za nyumbani.

Naomba tolea tamko suala hilo wilaya nyingi wanafunzi wa madarasa hayo wanasumbuliwa .
Mwanao asome kwa bidiii kipindi cha shule? ili likizo iwe likizo kweli? sidahni kama wana wa retain wote? ni wala ambao hawakufanya vizuri katika masomo tu.
 
Blank page

JF-Expert Member
May 28, 2015
4,225
2,000
Si kwamba walimu wanataka watoto hao wafaulu bali ni njia ya kujipatia kipato cha ziada. Ukweli tabia hii ikomeshwe.
mkuu embu acha kuwafkiria walimu vibaya,unafaham kias au ela wanayochangishwa watot hao mpaka useme ni njia ya kujipatia kipato cha ziada? si vzur walimu wakiwaacha watot wazaz huwa wanasem hawafanyi kaz au watot wakat wa likizo wanakuwa kero kwa maana hawana cha kufanya lakin wakiendlea kuwafundisha kipind cha likizo ati wanajipatia kipato...kweli?
 
Hajto

JF-Expert Member
Sep 30, 2013
3,628
2,000
Kwa kweli inaumiza sana,mie dogo langu yupo darasa la sita likizo hii anatakiwa aende na sh 1000 kila siku pale shule ya msingi Mivinjeni ilala
 
mlavie

JF-Expert Member
Dec 10, 2010
296
500
Hapa ndipo watu hujitoa ufahamu.. Kama hata mwanao kwenda shule apate masomo ya ziada kipindi cha likizo mzazi unalalamika basi hii ni kali zaidi. Kwa mzazi anaye elewa umuhimu wa elimu hawezi kumwacha mwanae mwezi mzima akakaa nyumbani bure na ndio maana hata hao wa madarasa mengine wapo bize na tuition. Ila pia sidhani kama ni lazima mwanao aende darasani kipindi cha likizo wewe mwache tu acheze kombolela watakutana January shule zikifunguliwa.
 
chipaka.com

JF-Expert Member
Dec 5, 2015
2,890
2,000
Huu ni uzembe kabisa, maafisa elimu msingi wamekuwa wakiwashurutisha wanafunzi wa darasa la tatu na sita kwenda shuleni wakati wa likizo ya desemba, huu ni uzembe . Siku za kwa mwaka mzima zipo 195 , mtoto anahitaji kupumzika ndio maana wakaweka likizo. Mtoto anahitajika kumsaidia mzazi kazi za kilimo ili ajifunze stadi za nyumbani.

Naomba tolea tamko suala hilo wilaya nyingi wanafunzi wa madarasa hayo wanasumbuliwa .
Naunga mkono hoja
 
onlytruth

Senior Member
Dec 9, 2016
132
250
inauma sana,siyo kwamba walimu au wanafunzi wanataka- ni kulazimishwa tu,hats hawajui ubongo wa mtoto unahitaji kupumzika!!!
 
Quinine Mwitu

JF-Expert Member
Oct 19, 2014
5,216
2,000
kila kitu kikizidi sana hua ni sumu,mtoto anaanza shule akiwa na miaka minne,anashinda huko anarudi saa kumi,akianza darasa la kwanza hiyo saa kumi hyo akitoka anaenda tuition hana muda wa kupumzika,hana muda wa kujifunza hata maadili ya hom huna muda wa kumfundisha hata ujasiriamali kwa vitendo,ajira zenyewe ndo hizi za magufuli,akimaliza degree ana miaka 22 anaanza kujitegemea nk,sipingi elimu ila napingana na mfumo wa utoaji elimu
 
Nsanzi

Member
Nov 30, 2016
84
125
Si kwamba walimu wanataka watoto hao wafaulu bali ni njia ya kujipatia kipato cha ziada. Ukweli tabia hii ikomeshwe.
Wewe unaogea usicho kijua, ama umekariri, au umesikia huna hakika, hakuna mwalim anae fuatilia pesa ya mwanafunzi saiz.
Fanya uchunguzi kabla ya kuongea. halmashauri nyingi zimetoa tamko kuwa walimu waendelee kufundisha madarasa yale yenye mitihani sana sana drs la sita ambao ni la saba mwakani, mbaya zaidi hata kama una likizo.
 
deoscor

Member
Jan 17, 2015
29
75
Kimsingi likizo no muhim kwa motto kwani haikutokea tu. Utafiti ulifanyika na ulazima ukaonekana ikiwemo za afya , domestic studies pickniks na kubwa ni kumstress free mtotobili aweze kuanza upya baada ya kipindi fulani.tatizo in mfumo Wetu Wa utoaji elimu ndiyo unaonekana kulega lega kila Mara na kila uongozi unapobadilika .katika hali ya kawaida tu has a ss wajasiriamali ambao likizo zetu hazitajwi popote ikitokea ukasafiri nje ya kazi wik 2 tu ukirud kazin unajiona mpya kabisa. Na kwa watoto in hivohivo, kimsingi wale wenye mitihan kuna umuhim Wa kuwaongezea Mazoezi lakini pia wanaweza kupewa home work zilizo kimfumo na kusimamiwa pia wakafanya vizuri. Haiwezekani mtoto awe katika mazingira ya twenty four several 365 tunaweza kuwaumiza kisaikilogy. Aitha watafit warejee tafit zao zionyeshe kama kuna haja na has a nn kifanyike kwa mfumo gani bila kumuathir mtoto
 
katichi

JF-Expert Member
Nov 26, 2016
2,036
2,000
Wewe unaogea usicho kijua, ama umekariri, au umesikia huna hakika, hakuna mwalim anae fuatilia pesa ya mwanafunzi saiz.
Fanya uchunguzi kabla ya kuongea. halmashauri nyingi zimetoa tamko kuwa walimu waendelee kufundisha madarasa yale yenye mitihani sana sana drs la sita ambao ni la saba mwakani, mbaya zaidi hata kama una likizo.
Binadamu hatuna shukrani wazazi hao hao shule ikifelisha wanakuja juu Mara ooooh walimu hawafundishi daaah nataka moyo kwa kweli Mungu awabariki walimu wote kazi yenu si bure
 
Small Axe

JF-Expert Member
Dec 17, 2016
649
500
Watanzania ni watu wa ajabu kabisa..mwalimu akijitahidi watoto waludi na kufanya mazoezi yakutosha ili afaulu..utasikia ooh walimu wanataka kupata kipato..mwalimu akienda kufanya mishe zingine..ooh walimu badala ya kufundisha wanafanya biashara et nao bodaboda...wakifeli watoto utasikia ooh walim hawafundishi kabisa lawama zoote ni kwa mwalimu mwanawasahau wanasiasa wanao alibi kabisa elimu ya tz
Tusipo angalia hatutakuja kuendelea kwenye sekta ya elimu hata siku moja..kwa maana kwa sasa na elimu bule..ndio elimu inadidimia kabisa..mtakuja kuniambia mbeleni..embu fikilia kipindi kilicho pita kwa wanafunzi wa sekondari sehem kubwa tz ilikua baada ya mda wadarasani wanaludi kwenye remedial classes (masomo ya ziada) ili wafanye revision na Ku cover topics zilizo baki lkn kunakua na ka mchango kadogo japo mwalim apate kavotcha na imsahaulishe kujilinganisha na mfanyakazi mwingine wa kada zingine( zenye semina nyingi na posho wakati elim amemzidi).kwa sasa hamnaga kitu kama icho..ina maana baada ya mda wa kazi mwalimu analud nyumbani na kufanya shughuli zingine za kipato..na sikufichi watoto wasipo simamiwa vzr na waalimu, ni wachache saana wanaojitambua joini aludi shule kujisomea na kufanya maludio au kujipa mazoezi yakutosha ktk masomo yake..sasa kwa utaratibu wa sasa mwanafunzi akisha toka tu mda wa.shule ndio kukimbizana na utandawazi utasikia tuna bet man u na chersie.Mara Leo darassa show wap, mara diamond na ray watalichambua wapi, chura Leo show wap?
sasa embu niambie uyo mtoto ndio afaulu..akifaulu ameklem tuu..kwasababu elim yetu ni ya kuklem mpaka PhD..ndio maana ma Dr wetu mabingwa wa kuklem kuliko kufanya uvumbuzi..na hatuna impact yoyote inayo sifiwa kimataifa zaidi ya uchumia tumbo wa ma propesa njaa
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom