Recent content by Deony

  1. D

    JamiiForums Tanzania BASATA kumvua taji miss Tanzania 2014 kwa kudanganya umri

    Aaah wapi! Mbona wakija misikitini hamuwafukuzi? na sadaka zao mnapokea!? Nyie ndio muache unafiki bana! Pombe mnakunywa wote ,kitimoto mnakula wote,halafu mnawaita wenzenu hawajitambui!! Ovyooo!
  2. D

    JamiiForums Tanzania BASATA kumvua taji miss Tanzania 2014 kwa kudanganya umri

    Sasa ndio umeandika nini? Unajua kuwa Sitti Mtemvu ni mwislamu?Au kudanganya kwake umri kunahusiana vipi na dini yake au na kule anakotoka? GT wengine wa JF,ni wakuhurumiwa sana!!
  3. D

    JamiiForums Tanzania Kardinali Polycarp Pengo: Nimekuwa sionekani hadharani kutokana na kuumwa

    Una uhakika unacho kinena!!?
  4. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Imani hizi zinatupeleka wapi?

    Mkuu, Mie hiyo mila ya mtu kulala na marehemu ili kutakasa huwa inanitisha na kunishangaza kuliko! Hivi inawezekanaje mtu akalala kabisa na mfu? tena kama marehemu ni mwaname eti mwanamke anaweza kubeba mimba kabisa,na nasikia kuna majina maalum ya watoto wanaopatikana kwa njia hiyo...
  5. D

    JamiiForums Tanzania Gari la polisi liko mawindo ya makahaba kuna nini?

    Ha ha ha! Nimekuelewa mkuu! Ni ruksa sasa polisi kujamiiana kazini, makahaba wakae mkao wa kula kutoa services bureee!! Huku pembeni wahalifu wakiendelea kuiba na kupora!
  6. D

    JamiiForums Tanzania Polisi waliofukuzwa kazi warudishwa kazini!

    Mhh! Sasa mapenzi yatafanyika mpaka lindoni! Watanzania tujiandae kujilinda wenyewe dhidi ya wahalifu! Na pia ukimkuta traffiki pale ubungo mataa anadendeka na mwenzie usipite mpaka amalize,ukipita ukagongwa una kosa kisheria la kutokumsubiria traffiki amalize "dharura" zake!! Haloooooo!
  7. D

    JamiiForums Tanzania ITV Tanzania na Mchakato wa Katiba

    Yaani Television ya Taifa(ITV),ionyeshe mapokezi ya katiba ya chama cha siasa!!? Hata mimi ningeshangaa endapo kituo makini kingerusha maonyesho ya kipuuzi ya CCM!
  8. D

    JamiiForums Tanzania Mahujaji 130 wamefariki katika ibada ya Hijja

    Mkuu, Naomba unifafanulie hapo kudogo! Kwa hiyo waislamu wote ambao hawatakwenda hijja maisha yao yote ina maana watakufa bila kutubu dhambi zao na wala hawatapata nafasi ya kumpiga shetani mawe hivyo watakwenda jehanamu!!? Unamaanisha hivyo au nimekupata vibaya!!?
  9. D

    JamiiForums Tanzania Siku ya kuzaliwa ya Rais Jakaya Kikwete

    Hujui!? Hiyo inaitwa CloudCcm! Na inapokea maagizo kutoka mtaa wa Lumumba!
  10. D

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe apewa tuzo ya Mtetezi wa Haki ya Hifadhi ya Jamii

    Hiv act ina hata balozi wa nyumba kumi!!?
  11. D

    JamiiForums Tanzania Itikadi,falsafa na misingi ya ACT-Tanzania

    Act ndo mdudu gani?
  12. D

    JamiiForums Tanzania Ndio maana raia wema wanaiogopa mikutano ya chadema

    Ni aibu mkuu! Hiki ndicho kizazi ambacho watu wanaiba waziwazi hlf mijitu kama hii inacheka tu!!! Au yawezekana ndio mijizi yenyewe!
  13. D

    JamiiForums Tanzania Jaji Sinde Warioba: Siendi Dodoma kwenye makabidhiano ya Katiba

    Aende kufanya nini wakati watu wanaenda kukabidhi ilani ya uchaguzi ya CCM!!!?
  14. D

    JamiiForums Tanzania Kipanya ni noma sana

    Duh, Badala ya ng`ombe kuzaa ndama,amezaa CHURA!! Ndoto za katiba mpya chini ya Sitta zinayeyuka taraaaaatibu,huku wajumbe wakijisifia kwa kutengeneza ILANI YA CHAMA!
  15. D

    JamiiForums Tanzania Naishukuru serikali ya CCM imenipa ajira

    Mkuu, Yaani nisome miaka; 7;primary 4;secondary 2;high school 5;university Total;18 Halafu nije niendeshe BODABODA? EXCUSE ME!!!!!!!!!!!!!!!! Kama ndio hivyo mbona hao wanenu tuliosoma nao wanaajiriwa kwenye makampuni makubwa na kuendesha ma-range wakati walikuwa vilaza tu? Mie...
Back
Top Bottom