Gari la polisi liko mawindo ya makahaba kuna nini?

Gari la polisi liko mawindo ya makahaba kuna nini?

Pdidy

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
61,787
Reaction score
37,992
Natembea toka mapambano kuelekea afrikasana kula

upande wa kushoto kuna kichochoro hapo ni malindo ya.makahaba

gafla naona gari ya polisi.defender ya kijivu ndani kuna.wanawake.gari imepaki

nimesimama ananifwata afande wasubiri nini hapa nikasema lifti ..kwani eiruhusiwi kusimama akarudi kwenye gari

gafla.anashuka mwanamke mmoja kwa kukimbia anapayuka mtatut......sana mwaka huu na wake zenu wajiande

mamayangu mzazi sikutaka kujua walichokuwa wakifanyiwa ila nahisi.huruma.za mungu.ziwwashukie

wakuu wa polisi embu piten usiku muangalie.yanayofanyika usiku

sichekelei ila ni shidaaaaa
 
Mi najua huwa wanawasomba kuwapeleka polisi mabatini,
 
Mkuu na ww si ushapunguza uzito kidgo lkn?
 
Ni mwendo wa kuwachongea tu ha ha ha....ukichukua rushwa, ukifumaniwa, ukivunja maadili ya kazi JF ipo!! ha ha ha ha

NASIKIA WAMERUDISHWA KAZINI WALE ;- :-
 
Ha ha ha!
Nimekuelewa mkuu!
Ni ruksa sasa polisi kujamiiana kazini, makahaba wakae mkao wa kula kutoa services bureee!!

Huku pembeni wahalifu wakiendelea kuiba na kupora!
 
Natembea toka mapambano kuelekea afrikasana kula

upande wa kushoto kuna kichochoro hapo ni malindo ya.makahaba

gafla naona gari ya polisi.defender ya kijivu ndani kuna.wanawake.gari imepaki

nimesimama ananifwata afande wasubiri nini hapa nikasema lifti ..kwani eiruhusiwi kusimama akarudi kwenye gari

gafla.anashuka mwanamke mmoja kwa kukimbia anapayuka mtatut......sana mwaka huu na wake zenu wajiande

mamayangu mzazi sikutaka kujua walichokuwa wakifanyiwa ila nahisi.huruma.za mungu.ziwwashukie

wakuu wa polisi embu piten usiku muangalie.yanayofanyika usiku

sichekelei ila ni shidaaaaa

Mpwa maeneo hayo kuanzia saa moja usiku yanageuka Sodoma.

Ni full maasi, rupia yako tu tena watakutongoza mabinti wenyewe maana wanaume wengine kujielezea haja zao ni Shiidah!!
 
Mkuu nimepita si mda nkawaona nkajiuliza wanawakamata au
 
utani mkuu ila polis wetu wana mengi sana maovu tutazid kuyajua tuu

lo lingine wako na noah moja ya kituo cha polisi sinza hii inapita kila lodge wanapewa buku tano.mpaka kumi

wakipewa.buku tatu.wanamchukua.mwenye. Lodge to mabatini sijui jeshi wanajua hilo
 
SIKU hizi wana ugonjwa was mabusu,wameona wakiwabusu ma WP inaleta shida,wàmeamua wawakusanye wakawapigie busy huko
 
mkuu nimepita si mda nkawaona nkajiuliza wanawakamata au

wapo mpaka.sasahivi niko upande wa pili sijui leo wameamua kukamua wote wenyewe

mkuu wa polisi mabatini embu kawatoe bana tutapiga.simu kwa wakubwa
 
mpwa maeneo hayo kuanzia saa moja usiku yanageuka sodoma.

Ni full maasi, rupia yako tu tena watakutongoza mabinti wenyewe maana wanaume wengine kujielezea haja zao ni shiidah!!

mpwa usijaribu ukionja mmoja akuna tofauti na deo

kalekamchezo.cha kuchungulia wenzako wana.do

nikiwa na research moja nilishtuka kuona gar.ya.mfanyabisshara mkubwa tu dar nilipouliza nikambiwa jamaa anatoa buku 5.anaruhusiwa kuchungulia kwenye madirisha uamini nenda kwa babu manywele wamechana mpaka mapazia kupiga deo

inabidi.ukienda n gf wako uwe na soletepu tena nyeusi unabandika walipochana

hii ni true story jamani nilikula hela sana na hawa waswedesh tena wengine wanawalipa madada wanakaa kuelezea shida zao na jinsi wanavyozihakiwa

ulikuunajua usiku mzima wakipata.lakimbili

laki nzima ni feki??so sad nk..nisijeanzisha somo
 
Mpwa sema kweli, wewe mteja wao bana. By the way mpwa naona unayumba barabarani, safari wapi hiyo
 
mpwa sema kweli, wewe mteja wao bana. By the way mpwa naona unayumba barabarani, safari wapi hiyo

mpwa niko kwenye assigment

hao siwaweziwamenizidi kimataifa zaidi naelekea avalange then kanyi
 
Back
Top Bottom