mnyaru one
Member
- Sep 10, 2014
- 8
- 0
Namtakia happy birthday njema mweshimiwa wangu kwa kuzaliwa siku kama ya leo
Wapuuzi sana hao blauzi fm wanajipendekeza kwa JK kwa vile bado yupo madarakani muda wake ukiisha hautawasikia tena wakijikomba kwa JK.
Nimeuliza tu...kama hukuwa na jibu potezea unatoa Povu tu@matola
Jk aka fastjet, popo. Amebakiza mwaka moja tu amalizie vipinde vyake.
Hebu kafie mbele uko unalijuwa povu wewe?