Hakikwanza
JF-Expert Member
- Dec 11, 2010
- 4,055
- 1,024
Mkuu wangu tunashukuru kwa angalizo lako, watanzania wapenda amani wakusoma na kukuelewa.
Eee ndio wapenda amani huku mafirauni ccm mkitafuna nchi kama mchwa eeh.
Mkuu wangu tunashukuru kwa angalizo lako, watanzania wapenda amani wakusoma na kukuelewa.
Vituko kwa mtazamo wako kwa hiyo nyinyi ndio mnashauli hivyo ili chama kikue eti CCM wanatoa mbinu kwa CDM iendelee kukua maajabu ya mwaka ni kwa mpumbafu tu ndio atapokea ushauri wako.
unaweza kukuta aliyeandika ni mwanaume..? Tanzania limekuwa taifa la wanaume waoga, cowards kama makuku ya kisasa..kusikia heche kutaja damu tu...mtu anataka akajifiche uvunguni...hawa wakina sita na change mpaka waje wawawabake ndo akili zitarudi...taifa la wanaume waoga ni taifa mfu
Kama una hakili timamu huwezi kusikiliza mane no ya MTU aitwaye heche suguta
Samahani ndugu , nasema nyote mlio mjibu ndugu Ghostryder mmashambulia pasivyo haki na wengine kumtukana , na hali yeye katasema aliyoyaona. Hili jamani sii jukwa huru. Tuache jizi tabia mbaya.