Recent content by Deogratius Mosha

  1. D

    Nategemea kupeleka hii Hoja yangu binafsi Bunge la August 2013 kuhusu Ajira kwa Vijana

    kiongozi hapo tupo pamoja, na kwa hili tunaunga mkono sana.
  2. D

    Mh. Steven Wassira afunika Mwanza

    alikosea njia akifi,kiri kanisani ni hifadhi ya taifa, ingekuwa ruaha national park ningekuelewa mkuu, maana takwimu za taifa zinasema disign yake inakaribia kupotea nchini
  3. D

    Mh. Zitto Kabwe na Azan wamaliza mafunzo yao ya JKT kambi ya Mgambo 835KJ

    siasa mpaka jeshini, hawa walienda talii, chezea jeshi nini. serikali ya mh. dhaifu ndo kazi yake kufanya jeshi la kitalii
  4. D

    Hii ndio (CV) Wasifu ya Nape Moses Nnauye

    CV ya kihuni iliyoandikwa na muhuni mwenzake, tunachotaka sisi ni O-level, alipata alama zipi na A-level alipata zipi, mbona mnyika kaeleza, au ana Gentleman bachelor degree aliyepata wakili wangu Ridhiwani kikwete. Hakika wasomi makanjanja
  5. D

    CHADEMA yatikisa Mwanza, Furahisha pamekucha

    nilikuwa miongoni mwao, ilikuwa nyomi usipime
  6. D

    Tuhuma zangu kwa Lema

    majitu yale yale, machumia tumbo ya Arusha mjini, amerudishiwa ubunge ndo mnaanza tena......mbinu zenu za kimagamba zimepitwa na wakati...........msomi usiyeeleweka, nyie ndio mnaenda kuchukua elimu na sio kusoma
  7. D

    Godbless Lema katika kashfa ya kuiua CHADEMA Arusha

    hawa wachumia tumbo hamjaacha tu, arusha tunaijua sisi wala Dk hana sababu ya kuja kushughulikia mipasuko kimsingi njaa zenu zitawaua, milijpanga kugombea ubunge baada ya lema kuondolewa na mahakama sasa mmeshindwa mnakuja na hoja za viwanja. sahauni jimbo la arusha mjini, nyie nendeni kwa...
  8. D

    Lema ashinda rufaa dhidi ya ubunge wake!

    waliokuwa wanategemea kugombea ubunge arusha mjini kwa kumchafua lema wakachukue form. na wilioapa kwamba lema akishinda warudisha kadi za chadema wakati ndio huu. Chadema, Chadema, Chadema.....................Mungu ibariki Chadema
  9. D

    Umakini wa vijana katika kuleta mabadiliko na kujitambua kama wao ni miongoni mwa mabadiliko

    Ndugu zangu wana wa jamii forums, kwa moyo wa dhati na kwa nafasi kubwa kabisa ndani ya moyo yangu, nina kusudia kuandika machache kuhusu vijana na mabadiliko katika ulimwengu huu wa upya unaoendana na sayansi na teknologia nikilenga haswa kundi la vijana ambamo mimi ni miongoni mwao. Nitaanza...
  10. D

    CHADEMA itakufa kwa sababu hizi, sio propaganda

    utakufa wewe CHADEMA kitaishi
  11. D

    Viongozi wa CHADEMA kikaoni na IGP kwa R.P.C Iringa

    "Its nothing evil that will stand still" By Deo
  12. D

    Huyu ndiye kijana aliyepoteza maisha kwenye mvutano baina ya police na CHADEMA

    Rest in peace Commander Ally, your blood shed, will bear fruits of of Tanzania's re-independence.
  13. D

    Nape awajibu CHADEMA, asema siku saba ni nyingi mno!

    nape ajibu hoja, sio kuleta mada mpya isiyo na mantiki, akumbuke Dr Slaa hakurupuki katika kutoa hoja, mwisho wa siku ataumbuka
  14. D

    Diallo atamba kurudisha heshima ya CCM Mwanza

    Hashindwe kurudisha heshima kwa kurudi bungeni...!!!!!!!, arudishe heshima ccm, yeye mwenyewe gamba ndo maana alishindwa rudi mjengoni....arudishe heshima kwa kuvua magamba
Back
Top Bottom