Tuhuma zangu kwa Lema

Tuhuma zangu kwa Lema

Wajinga Kama ninyi mlitakiwa Kuwa wabeba kuni polini nashangaa eti unasoma kwel elimu ya Tanzania haimkomboi Mtu Ainu tunazalisha wajinga

Na wewe kama kweli ni mwalimu basi wewe na wanafunzi wako wote ndiyo hali hiyo hiyo unayojaribu kuinyooshea kidole!
 
majitu yale yale, machumia tumbo ya Arusha mjini, amerudishiwa ubunge ndo mnaanza tena......mbinu zenu za kimagamba zimepitwa na wakati...........msomi usiyeeleweka, nyie ndio mnaenda kuchukua elimu na sio kusoma
 
hili ndio tatizo la cdm hasa member wake humu jf.wote walio jibu hakuna hata mmoja mwenye positive mind au tu wa kusema kwa kauli za kiungwana .tatizo nn wana jf tuwe magt hapo kuna upuuz ila pia kuna la kuangalia

wewe umejaribu kuonyesha positive mind bravo!au umeme umekatika kabla ujamaliza?
 
naomba sana muujiuliza, what was Lema's Profesion earlier kabla hajaingia siasani, si alikuwa katika kundi la wezi wa MGARI pale ARUSHA, alikuwa akifanya kazi ya kuuza magari yanayo ibiwa kenya na kuletwa Arusha. LEO AMEKUWA MKOMBOZI. BAD CHOICE OF A LEADER huyu Bwana ataingausha CDM he is big liability, na hajui kuzungumza, and he is a very un-predictable person, ONCE A THIEF ALWAYS ِA THIEF

wewe ni mja wazawa wenye historia zaidi yako walitumia haki yao ya kimsingi na wewe ulitumia yako shida iko wapi?
 
UDSM isilaumiwe kwa makosa binafsi. Tulaumu mfumo wa elimu ambao haumjengi mhitimu kiakili, kimaono na uchanganuzi wa mambo. Je mnajua siku hizi UDSM haichagui yenyewe wanafunzi wanaojiunga pale bali wanapelekewa na TCU? Je mnajua wale wanaoletwa na TCU ni matokeo ya shule za kata zile zinazopokea wanafunzi wasiojua kusoma na kuandika?wakifika sekondari ndo wanajifunza kusoma na kuandika. Wakifika chuo kikuu wanajifunza kufikiri na kuchanganua mambo. Lakini kabla hawajafuzu vizuri miaka mi3 ya kuwa chuo inakuwa imekwisha kwa hiyo wanakuwa wameiva nusu.
 
Kazi ipo, vijana wanatumika , hata wao hawajui kusoma nyakati kama wazee, unapost ujinga kama huu, mmechelewa rudisheni hizo change hatudanganyiki.
 
Eti yupo chuo! hata hiyo English haina kituo wala koma ! bora liende!! jipange upya kijana .
 
Sasa unataka wasomaji tufanyeje? Hii njia ya kuwachafua watu imeshagundulika na watu. Sasa wanawapuuza tu. Kama unayosema ni kweli mchukulie hatua za kisheria na sio kuja kulalama huku mitandaoni. Tumechoka na hii namna ya kipuuzi ya kulalamika kimajungu.

Viongozi wenu sio malaika kama mnasikia mazuri yao.nahayo mabaya yao yadikieni tu.

Sent from my GT-I9300 using Tapatalk 2
 
baada ya kuandika haya so what? hujasema tukusaidie vipi na ulikuwa wapi siku zote kutoa lawama zako
 
Hii ni lugha gani umeandika hapa??
Is it English or a language similar to English???
Aise pale UD ulisoma certificate au Diploma-ya nini???

that is real happen and i cant talk more on this if you don't satisfy just email me ,the aim of writing this is to make people know and not to make confusion with you people all in all massage sent
 
Hahaaaah! kumbe huyu ni mchina wa Kibongo?? Alikuwa hajasema!
ila wachina orijino wanatumia Kichina chao vizuri, vivyo hivyo tunategemea mbongo halisi kutumia kiswahili fasaha!
NB: Umakini ni Dalili njema ya kuwa na afya njema ya akili na uwezo wa kufikiri!

Na wachina wasiojua kuandika kiingereza lakini ni wasomi wazuri unawaweka kundi gani ?
 
Tusidanganyane! Kama university graduate hawezi kujieleza vizuri kwa lugha ya Kiingereza atakuwa na walakini mkubwa; na tena anapodai ametoka UDSM it makes matters worse. :mwaaah: :fencing:
 
kweli we ndio wale wanaouza nchi kwa kupewa suti yaani dar kote haujaonaga lodge kwahiyo ungehongwa malazi namagamba manake ungekubali kura zichakachuliwe hufai kuwa mpambanaji kauze mandazi sokoni
 
Hizi ni porojo.Kama umekosana nae kwanini usimpigie simu mkutane muyamalize kuliko kuyaleta humu?
Kwanza niwasalimu wadau wa jamii forum,

Kiualisia jamvi hili ni muhimu kwa watu tunayoipenda Tanzania yetu umekuwa uwanja wa kusifia mazuri yanayofanywa na baadhi ya viongozi wetu,na kukemea mabaya yanayofanywa na viongozi.

Binafsi nilimuona LEMA ni kiongozi jasiri anaye weza kututetea wana wa arusha achilia mbali elimu yake tunayoamini ni yakuunga unga ,vijana tulijitoa kwa hali na mali kuhakikisha anashinda na kweli alishinda tulifurahi sana sana,tuliona ukombozi upo ajira tutapata hospitali aliyoihaidi atajenga kituo cha kufundishia kingereza atakijenga kama alivyo ahidi,tulimpa mda na ushirikiano wakutosha lakini amekuwa na ZARAU hapokei simu na ata akipokea bhasi mimi leo ntakijikita kusema yale yote yalio nikuta wakati ULE ninaamini sana siasa za Tanzania nakumwamini lema kama kiongozi jasiri anae weza kututetea wana wa ARUSHA.

LEMA ni mtu anayetamka sana neo HAKI ZA BINADAMU pale zinapo vunjwa kamaana nyingine ni mpigania haki za binadamu pale zinapo vunjwa lakini na yeye ni mmoja wa viongozi anaye vunja haki za binadamu. LEMA ndio chanzo cha familia za waliopoteza maisha january 5/ 2011 kishi maisha magumu, aliahidi kuitunza familia zile lakini paka na kesho hakuna wanachokipa familia ile watoto wanakosa mahitaji muhimu pesa zinachangishwa laini haziwafikii walengwa lema ndio anayesimamia ukusanywaji na zina ishilia kwake huu ni ukiukwaji wa haki za binadamu, tulipe kisogo ilo tuendelee kuangalia upana kiuka haki za binadamu mwaka 2011 kulikuwa na uchaguzi mdogo igunga waliitajika vijana kadhaa kutoka ARUSHA kwa ajili ya uwakala, mdogo wake Lema(Nelson) alinipigia simu nakuniomba tunde pamoja igunga nilikuwa na ratiba yakujiandaa kurudi chuoni kuendelea na masomo kwani ndo tulikuwa tunafungua chuo(udsm).

Nelson aliniomba sana nivute siku 4 twende tabora sikuwa na shaka kwani siku izo 4 zilikuwa niza usajini ckuwa nashaka nikakubali nikiamini tutakuwa pamoja na Nelson (mdogo wa mbunge) ilikuwa siku ya ijumaa tulikutana offisini kwa mbunge nilitambulishwa pale kwa mke wa mbunge as a student and friend of Nelson (mdogo wa mbunge) Nelson na yeye alikuwa anajiandaa kwenda kuanza chuo kw hiyo wote tulikuwa student lakini kutokana na damu ya upendo kwa watanzania wenzetu tuliona ni bora tukaakikishe wanapata uongozi imara tukawasaidie.

Pale tulipo simu ya mke wa mbunge ikaita niliamini ni mbunge (LEMA) baada yakumaliza kuongea alikata simu alimwamuru Nelson kutokwenda Igunga kwani anajiandaa kwenda chuoni na kule kuna vurugu anaweza kuumia lakini mimi alikuwa akinishawishi niende hapata kuwa na shida kwani ataniunganisha na mbunge alinishawishi sana sikuwa na njia nyingine tukaanza safari tulitumia njoku express tulianza safari saa 12 jion nakumbuka tulifika saa 11asubuhi,tulipokelewa na kiporo cha wali,walituahidi kula vizuri na kulala vizuri lakini hakuna kilichofanyika tulilala kwenye magari wao walila lorge sisi tupo njee kiukweli haki za binadamu lema alizikiuka pale hakuna aliyopenda iyo hali miongoni mwetu kauli waiokuwa wanatupa etii sisi NI MAKAMANDA tuvumilie ukombozi unakuja hatukupenda ata kidogo.

Siku moja saa 8usiku lema aliwasha GARI akatuchukua watu wanane tukaenda umbali wa kama km 20 kutoka pale lodge tulifika sehemu kituo cha kupigia kura sio shule bali ni sehemu tu iliandaliwa maalumu kwa kazi hiyo,kumbuka hakuna umeme maji wala ulinzi wowote lema akasema tulale pale ccm wasije kuleta kura zao alafu yeye arudi lodge kiuanisia apo alikiuka haki za binadamu hakuna aliye kubaliana nae tukarudi wote lakini alikasirika kwa kuto msikliza tulirudi camp, wakati nipo camp nilipata hali ya kuumwa nikampigia simu Nelson (mdogo wa mbunge) ambaye yupo arusha nikamweleza hali yangu ya Afya.

Aakaniambie ngoja awasiliane na kaka (mbunge) aweze kunisaidia akawasiliana na kaka yake (Lema) then akanipigia akaniambie nimfate tuongee nilimfata lakini lema aligoma kabisa kuongea na mimi na kudai amepokea simu kutoka kwa nelson lakini yupo bize nimtafute badae badae kumtafuta hakutaka kunipa nafasi na uku anajua hali yangu ni mbaya kama alivyo elezwa na mdogo wake .
 
Hizi ni porojo.Kama umekosana nae kwanini usimpigie simu mkutane muyamalize kuliko kuyaleta humu?
hivi huyo mnyonge anaweza thubutu kumwambia lema chochote. ameamua kuja kujitolea dukuduku lake hapa kwa sababu hana jinsi. mbona ukweli upo wazi kuwa dogo hana ubavu wa kupambana na lema. tumia akili kufikiria mkuu.
 
Back
Top Bottom