Nape awajibu CHADEMA, asema siku saba ni nyingi mno!

KOMRAD NAPE LIVE NA WANAHABARI MUDA HUU CCM LUMUMBA K/KOO. AWAJIBU CHADEMA..

."..siku saba walizonipa nyingi sana,ushahidi upo kwa kila nachosema...waende mahakamani leo wasisubiri siku saba....wakati huo huo wamsaidie mzee Slaa kuja na ushahidi mahakamani wakusema CCM IMEINGIZA SILAHA,TUNATAKA AJE AOMBE RADHI kwa njia ile ile na tutadai fidia bilion 3, na tayari wanasheria wameshaanza hatua"
ASANTENI.

My take.siasa ya tanzania imeharibika,kila mtu ni mbabe,wanaoumia ni wananchi.

539170_357869970954184_1655435821_n.jpg

NA kwa Midomo hiyo MWATAKA KUENDELEA KUTAWALA? NI DANGER!!!!
 
Marumbano haya hayana tija kisiasa. hayaongezi wanachama wala hayaelimishi jamii, kama mtaji wa chama kisiasa. Tunategemea chama kingine kitakachokuwa makini, ndicho kiongoze 2015.
 
Wanatishia nyau tu hao hakuna cha mahakamani wala nini na hakuna anayeweza kuthibitisha tuhuma zake
 
hamna mpya mheshimiwa nape, poleni sana cc wananchi hatuwaelewi kabsa hata mkajitetea vipi chadema tutawaunga mkonoo mpaka kielewekeeeeeeeeeeeee
 
Naona hapa watu mnamshambulia tu nape bila hoja kwani si yeye mwenyewe kasema mpelekeni mahakamani kwani hizo siku saba nyingi sasa kelele za nini? sasa si nendeni mahakamani jamani tujue nani mropokaji NAPE or SLAA
 
KOMRAD NAPE LIVE NA WANAHABARI MUDA HUU CCM LUMUMBA K/KOO. AWAJIBU CHADEMA..

."..siku saba walizonipa nyingi sana,ushahidi upo kwa kila nachosema...waende mahakamani leo wasisubiri siku saba....wakati huo huo wamsaidie mzee Slaa kuja na ushahidi mahakamani wakusema CCM IMEINGIZA SILAHA,TUNATAKA AJE AOMBE RADHI kwa njia ile ile na tutadai fidia bilion 3, na tayari wanasheria wameshaanza hatua"
ASANTENI.

My take.siasa ya tanzania imeharibika,kila mtu ni mbabe,wanaoumia ni wananchi.
Sasa katibu mwenezi anapotangaza kudai bilioni 3 ana maanisha kitu gani? Namshauri ni bado kijana kumbe asije jutia kauli zake mbeleni, hivyo haoni kama wenzake wote wameamua kuachana na mambo ya ccm wanafanya shughuli zao, ni yy tu kwa kisingizio cha ukatibu wenezi anahangaika tu bila kujiuliza anafanya hivyo ili iweje, fanya tu yale yenye maana kwako, hicho chama kimeshaharibika muda mrefu unapoteza muda. Ukweli uko wazi kuwa afadhali enzi za TANU waananchi tulikuwa na imani na chama lakini si hiki cha ccm
 
Yang Macho Pelekanen Mahakaman Kieleweke! Nan Mwongo,ila We Nape Mpaka Mwenzio Aseme Ndo Unakumbuka! Ulikuwa Wap? Sik Zote Acha Ujinga We Kama Mwenez Zungmza Mamb Makn Kuhusu !namna gan Mnajipanga Kusaidia Wananch! Hahahahaha 2015 Kaz Kwel,,,,
 
Hili nape domo kaya kweli mdomo wakulia lenyewe lazan la kutolea mbolea. Acha kuota kitambi komboa nch yako. Toka upewe cheo umekuwa mpanaji mnafiki kweli. Ccm ni janga la taifa bora hata kula yangu ikafie kafu kuliko ccm cdm matumaini yangu angalizo: chadema maandamano hayakuwa lazima R I P UCIYE NA HATIA. TATIZO
 
Eti walipe chama changu cha magamba shs bilioni tatu na shs moja. Eti yule babu yenu Dr Slaa...ha ha ha ha haa...nape bado mdogo sana kumbe.
 
Source Itv

Anadai hajakurupuka na anaushahidi wa kutosha juu ya fedha haramu za nje na anadai ushaidi alio nao atarnda kuutolea mahakamani
 
Nape amesema anataka fidia ya bilioni tano na shilingi moja
 
Huyu dogo sio kama baba yake ,marehemu Moses alikuwa mtu wa msimamo na sio mtu wa kutumiwa; huyu dogo hajitambui mpaka sasa yeye ni nani katika hilo chama na ndio maana alitangatanga na kwenda kwenye chama kile walichoanzisha na wakina Sitta!! Baada ya chaguzi za chama chao watakapomtupa kama condom iliokwisha tumika hapo ndipo atakapojua kuwa chama cha magamba kina wenyewe ambao sasa wanamuangalia kwa jicho la husda!!

tena baba yake ndiye aliyetunga ule wimbo "Tazama ramani..." angalau amewaachia watanzania kumbukumbu
 
Ukisika siasa za maji taka ndio hizo.
hazitusaidii wananchi hata kidogo
KOMRAD NAPE LIVE NA WANAHABARI MUDA HUU CCM LUMUMBA K/KOO. AWAJIBU CHADEMA..

."..siku saba walizonipa nyingi sana,ushahidi upo kwa kila nachosema...waende mahakamani leo wasisubiri siku saba....wakati huo huo wamsaidie mzee Slaa kuja na ushahidi mahakamani wakusema CCM IMEINGIZA SILAHA,TUNATAKA AJE AOMBE RADHI kwa njia ile ile na tutadai fidia bilion 3, na tayari wanasheria wameshaanza hatua"
ASANTENI.

My take.siasa ya tanzania imeharibika,kila mtu ni mbabe,wanaoumia ni wananchi.
 
Naanza kuhisi kama kuna haja ya Taasisi ya Mirembe kuanza kujenga wodi mpya maalum kwa ajili ya viongozi wenye mtindio wa ubongo. Kila M4C ikiwasha moto CCM wanazidi kuchanganyikiwa. mpaka 2014, itabidi waanze kupelekwa mirembe kwa ajili ya matibabu mbadala.

Nape anaanza kuelekea huko. Akumbke leo Lowasa kamwambia Governor wa BOT aje awaambie wananchi kwa nini mfumuko wa bei haupungui. Sitta nae kawaambia wajitathmini na hukumu ya Igunga. Hiyo ndo CCM, kila mtu anatoa matamko yake.
 
Back
Top Bottom