Recent content by Deo Haule

  1. Deo Haule

    Kama una mtaji fanya biashara ya Mbuzi, utakuja kunishukuru

    Wazo zuri sana ndugu yangu naomba nikutafute Dm plz no:- yko
  2. Deo Haule

    Hivi hawa wabunge wetu wanatuwakilisha sisi?

    Jamani hivi hawa wabunge wetu wapo bungeni kwa maslai ya wananchi kweli? Au hawaisomagi sheria na miswada inayoletwa na serikali? maana wao kila kitu kikiletwa wanakubari tu wananchi tukipaza sauti zetu kisha serikali ikatusikia ikifanya marekebisho na wao wanapongeza tena mfano kwenye gharama...
  3. Deo Haule

    Askofu Gwajima, umekosea kujifanya mwamba na mwanaume, uwe mfano kwa jamii na heshimu familia yako. Uliyofanya na unayoyatetea si sahihi

    Mie tofauti na nyie japo siabudu kwake Mimi kama namuelewa vile Mfano nimeangalia ile siku wanakabidhi ripoti ya uchaguzi mkuu nikaona karibu viongozi wakuu wote wamevaa barakoa na wao wote wamechanjwa Ila nitoe tu rai wapendwa humu jamii forum kila mwanachama ana Uhuru wa kutoa hoja zake kama...
  4. Deo Haule

    Pongezi sana kwa Mkuu wa Mkoa wa Manyara

    Pamoja na hayo yote ndugu zangu ila Mimi nasema ni bora hata huyo wananchi wake wanamuona kuna wakuu wa mikoa jamani hawaonekani kwa wananchi wala japo kusikiliza hata kero za wananchi huwaoni mfano Mimi nipo mkoa mmoja hivi huku kusini magharibi kama unaelekea Kigoma yani huyu mheshimiwa...
  5. Deo Haule

    Pongezi sana kwa Mkuu wa Mkoa wa Manyara

    Wadau Mimi naomba nimpongeze sana tena sana, Mkuu wa mkoa wa Manyara Makongoro Nyerere, pamoja na ile staili yake ya kama komedy hivi nimempenda sana yule baba sababu ile inamfanya azoeleke sana na wananchi pia in raisi kujua shida za wananchi wake. Ila kuna wakuu wa mikoa wapo hata sisi...
  6. Deo Haule

    Hivi Tigo mbona siwaelewi?

    Jamani ivi hawa Tigo tuseme wanazijua namba za siri za Tigo pesa za wateja wao? Maana kuna wakati wanatuambia tubadilishe namba za siri tuweke mpya tukianza na kampuni namba 0000 Haya tunaweka kisha tunaambiwa weka namba siri mpya sasa hapo ndipo shida inapoanza kwa maana ukiweka ile ya mwanzo...
  7. Deo Haule

    Vodacom mnakera na meseji zenu

    Nadhani kuna wadau wataniunga mkono kwa hili Vodacom mmezi na mameseji yenu ya promo yani nimejaribu kufuatilia mitandao yote lakini kwa vodacom mmezidi yote punguzeni jamani had I mda mwingine tuapuuzia kusoma meseji za maana kwa kudhani mmetuma nyie hizo za kwetu
  8. Deo Haule

    Kilefu cha neno CDF

    Asanteni wadau
  9. Deo Haule

    Kilefu cha neno CDF

    Naombeni kirefu cha neno CDF yaani mkuu wa majeshi
  10. Deo Haule

    Mgao wa maji mpanda utaisha lini mh waziri Juma Aweso njoo katavi

    Jamai mimi naishi mpanda sijawahi shuudia maji yakitoka bila mgao hata siku moja Tunakuomba mh waziri jaribu kutembelea huku katavi
  11. Deo Haule

    Je, Hakuna namna ya kumuondoa Spika Bungeni?

    Acha wafu wazikane hakuna bunge pale wanakula kodi zetu tu
Back
Top Bottom