Hivi Tigo mbona siwaelewi?

Deo Haule

Member
Aug 9, 2016
41
34
Jamani ivi hawa Tigo tuseme wanazijua namba za siri za Tigo pesa za wateja wao?

Maana kuna wakati wanatuambia tubadilishe namba za siri tuweke mpya tukianza na kampuni namba 0000

Haya tunaweka kisha tunaambiwa weka namba siri mpya sasa hapo ndipo shida inapoanza kwa maana ukiweka ile ya mwanzo utakuta wanasema namba yako mpya isifanane na ile ya zamani inamaana wao ya zamani wameijuaje?
 
Mmmh!mkuu mbn kama unataka kututia aibu ya mwakaby the way wacha nikujibu hizi huduma zinaendeshwa kwa kutegemea systyem hivyo iyo system ndio inayokugomea na kukubalia na sio tigo kama ulivyoandika naomba kuwakilisha
 
Hiyo ni system inafanya vitu kihisabati, ni kama ambavyo ukikosea kuweka namba ya siri afu ukaambiwa namba ya siri uliyoweka sio sahihi, kwanini usijiulize wanajuaje namba yako sahihi ya siri?
 
Back
Top Bottom