Deo Haule
Member
- Aug 9, 2016
- 41
- 34
Jamani hivi hawa wabunge wetu wapo bungeni kwa maslai ya wananchi kweli? Au hawaisomagi sheria na miswada inayoletwa na serikali? maana wao kila kitu kikiletwa wanakubari tu wananchi tukipaza sauti zetu kisha serikali ikatusikia ikifanya marekebisho na wao wanapongeza tena mfano kwenye gharama za tozo za simu wao ndo walopitisha ivi kwanini kabla ya kwenda ktk bunge husika wasije kwanza kwetu tuliowachagua na kutuuliza?
Mfano mwingine ktk hii miamara ya sim niliwahi kumsikia mkuu was bunge Siku moja akisema hii Shelia tumeipitisha sisi wabunge hivyo lazima itumike tens anaongea kibabe kabisa kweli jamani
Mfano mwingine ktk hii miamara ya sim niliwahi kumsikia mkuu was bunge Siku moja akisema hii Shelia tumeipitisha sisi wabunge hivyo lazima itumike tens anaongea kibabe kabisa kweli jamani