Recent content by Denis Kamba

  1. D

    JamiiForums Tanzania Tupo tayari kufa kwa risasi za moto kwa ajili ya kesho ya Mtanzania

    kama wewe umejiona una akili timamu basi ingia tu barabarani ukaandamane! Porojo za nini JF? Huko ni kutojiamini na ni ishara ya uoga
  2. D

    JamiiForums Tanzania Kaitwa Mbowe, wengine mnaenda kufanya nini?

    Ushabiki wa kisiasa hauna maana,tufanye siasa na sio kufanya siasa za matukio ili kujipatia wafuasi ni sawa na kufilisika kistratejia....
  3. D

    JamiiForums Tanzania Dr. Wilbrod Slaa ndiye Musa wa Leo, tumpe ridhaa ya kutuongoza kutoka utumwani mwa CCM

    Awe rais kupitia chama gani? Uadilifu wake ukoje? Kwa mawazo yangu,slaa kuwa rais ktk nchi hii ni sawa na kumpa kichaa panga,kwa ufupi hatufai!
  4. D

    JamiiForums Tanzania Tanzania Yapoteza Askari Wake Watatu DRC CONGO

    Haaa haaa haaaaa! Mdomo utakuponza huo....ni kweli jamaa wamekufa watatu kwa ajali ya gari!
  5. D

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi waua Chuo kikuu Mzumbe

    Bwana ametoa wao wametwaa,swadakta!
  6. D

    JamiiForums Tanzania Shushushu (Afisa Usalama wa Taifa) ni mtu wa aina gani, anafanya nini?

    Tuhuma hizo ni za kweli? Ebu tujuze zaidi mkuu...
  7. D

    JamiiForums Tanzania Vodafone: Watanzania walio wengi hawapendi mawasiliano yao na viongozi wao kuingiliwa/kurekodiwa

    Wizi unaosema wewe hauhusiani hapa! Ishu iliyopo ni udukuzi kiuhalisia ni mzuri ili kuilinda nchi....
  8. D

    JamiiForums Tanzania List ya recruitment agencies Tanzania

    Nami nahitaji pia,tuma ktk e mail hii ssaid115@yahoo.com
  9. D

    JamiiForums Tanzania TB JOSHUA: Kuna Rais East Africa atatekwa na Club kulipuliwa

    Huyu jamaa huyu nina mashaka naye sana,utabiri wake una shaka zaidi...!
  10. D

    JamiiForums Tanzania Askofu Kilaini uliwadanganya Watanzania, Ni Muda wako kuwaomba Msamaha kabla 2015

    Askofu Kilaini aliwadanganya Watanzania,huo ndio ukweli...! Inakuwaje kiongozi wa kiroho kuwa mwongo? Tusiwaamini hawa siku nyingine!
  11. D

    JamiiForums Tanzania Ufoo Saro wa ITV ajeruhiwa kwa risasi, mamake auawa!

    Haya kweli majanga!
  12. D

    JamiiForums Tanzania Vijana 11 wakamatwa Mtwara wakiwa na Silaha za Kivita na CD za Al-Shabaab!

    Tatizo lolote ktk jamii,mara zote hutafutiwa njia mbadala ya kuondoa tatizo hilo.Hizi propaganda zinazoenezwa na polisi ni mchezo wa kuigiza tu,wenye dhamira ya aidha,kuwachafua zaidi waislam na kuwapachika ugaidi,na au kutaka kuhamisha mazingatio ya watu kutoka ktk suala la katiba mpya na...
  13. D

    JamiiForums Tanzania Majeshi Yetu Hasa JWTZ kwa kushirikiana na usalama wa Taifa liangalieni hili.

    Udhibiti wa watu wanaoingia na kutoka ktk sehemu maalum kama kambi za jeshi umekuwa dhaifu sana.Hali hii uwawezesha maadui na mawakala wao kuingia na hata kujipenyeza sehemu nyeti na kupata taarifa muhimu kwa urahisi na hivyo kuhatarisha usalama wa nchi.
  14. D

    JamiiForums Tanzania Tusome gazeti la Annur tujue matokeo ya kigaidi kama ya Kenya yanvyotokea

    Mtoa mada jitahidi utuwekee hiyo habari
Back
Top Bottom