Tanzania Yapoteza Askari Wake Watatu DRC CONGO

Na sisi tuna interest zetu pale we unadhani uswahiba wa tz na us na uadui wa kagame na kikwete unatoka wapi? Kalagabaho! Enzi za mchonga tulikua tunajitolea then makamanda wanarud mikono mitupu nyumbani lkn sasa wapi. TUMESTUKAA!...na bado wakifa 3 tunapeleka wengine 20
Itakuwaje ukimpoteza ndugu yako mmoja wa karibu huko DRC halafu akatakiwa ndugu yako mwingine wa karibu aende?
 
RIP mashujaa wetu, pole kwa ndugu na jamaa wanaowahusu...
 
daah R.I.P my brother Juma Salum
 
Attachments

  • juma.jpg
    juma.jpg
    11 KB · Views: 172
Majeshi ya UN yako Congo kulinda Interest za USA kwa miaka mingi... Wakongoma hawafaidi utajiri wa madini yao bali mateso na mauaji ya kila aina; mabomu, risasi za moto, magonjwa ya kuambukiza, njaa ... Is it Worth Majeshi yetu kutumika kwa niaba yao? Kagame alitumika baadae akaanza kujigawia mwenyewe! Walimtumia M7 nae akawa anajigawia madini ... sisi Kama kawaida yetu ni watu wa kutekeleza TORs za Wakubwa wa Dunia hii kwa ujira wa Mwiha... R.I.P Vijana wetu...

Ndugu yangu wewe umekariri tu,, kuna UN bili hapa,, kuna hawa ''wazungu'' na ''wazee wa kazi'' hawa wazee wa kazi ndo watanzania wako humo.. hawa ndo walio wafurusha m23 na wamesababisha hata ADF Nalu wanabwaga silaha chini na wale waasi wa rwada FDRL pia wanajisalimisha .... (nafikiri kwa hili hata Rwanda nae atapenda) Jeshi letu linaheshimika sana hapa DRC,, kwanza kwa heshima yao kwa wakongo lakini pia kwa weledi wao.... hawa hata wakipita mitaani watu hiuwashangilia ,, wakiitwa wakombozi.... ila wale wenzetu weupe huitwa wezi tu..... sis wakzi wa hapa heshima kubwa tumepewa na jeshi letu japo sisi hata kushika gobore hatujui na kwa kweli baadhi yetu ni marufuku kujihusisha na wanajeshi ,, lakini inside tunajivunia heshima wanayoionyesha na wanayopewa vijana wetu..... ni msiba mkubwa si kwa watz tu bali kwa wakongo pia
 
Afadhali Mkongomani afaidi kidogo utajiri wake kuliko Bongo dhahabu imekwisha na hata gesi hakuna tutakachoambulia. Tazama jiji la Kinshasa....Dar choo.
 
Mungu walinde Askari wetu wa Tanzania huko nchini Congo, wafunike kwa Damu ya YESU,
 
Majeshi ya UN yako Congo kulinda Interest za USA kwa miaka mingi... Wakongoma hawafaidi utajiri wa madini yao bali mateso na mauaji ya kila aina; mabomu, risasi za moto, magonjwa ya kuambukiza, njaa ... Is it Worth Majeshi yetu kutumika kwa niaba yao? Kagame alitumika baadae akaanza kujigawia mwenyewe! Walimtumia M7 nae akawa anajigawia madini ... sisi Kama kawaida yetu ni watu wa kutekeleza TORs za Wakubwa wa Dunia hii kwa ujira wa Mwiha... R.I.P Vijana wetu...
Kutokana na kauli za Josh Broomberg nachelea kusema;
Ukiruka juu agana na nyonga.
 
Ndugu yangu wewe umekariri tu,, kuna UN bili hapa,, kuna hawa ''wazungu'' na ''wazee wa kazi'' hawa wazee wa kazi ndo watanzania wako humo.. hawa ndo walio wafurusha m23 na wamesababisha hata ADF Nalu wanabwaga silaha chini na wale waasi wa rwada FDRL pia wanajisalimisha .... (nafikiri kwa hili hata Rwanda nae atapenda) Jeshi letu linaheshimika sana hapa DRC,, kwanza kwa heshima yao kwa wakongo lakini pia kwa weledi wao.... hawa hata wakipita mitaani watu hiuwashangilia ,, wakiitwa wakombozi.... ila wale wenzetu weupe huitwa wezi tu..... sis wakzi wa hapa heshima kubwa tumepewa na jeshi letu japo sisi hata kushika gobore hatujui na kwa kweli baadhi yetu ni marufuku kujihusisha na wanajeshi ,, lakini inside tunajivunia heshima wanayoionyesha na wanayopewa vijana wetu..... ni msiba mkubwa si kwa watz tu bali kwa wakongo pia

Hao askari weupe wa UN unaowaita wezi nchi zao ndiyo funders ya operationi inayoendeshwa na hao unaowaita 'wazee wa kazi'. Tunarudi pale pale kwamba under carpet askari wetu wapo pale kutumikia maslahi ya mataifa ya magharibi. Tusijidanganye ati vijana wetu wanaheshimika DRC. Tangu lini mtwana akawa na heshima mbele ya beberu?

Askari weupe wameshafanya risk analysis ya kutosha ndiyo maana hawaingii front line hasa maeneo yenye risk kubwa kubwa yenye mapigano ya weusi kwa weusi. Ikifikia hatua hiyo wanawatanguliza askari weusi ('wazee wa kazi') ili wakajifie kivyao. Jiulize iweje makampuni makubwa ya Marekani na Ufaransa yaendelee kuchimba madini bila kuvamiwa na hao intarahamwe miaka nenda rudi? Nani anawalinda? Makampuni ya kichina yanapasua magogo katika msitu wa Kongo bila kashkash yoyote, nani anawalinda? Hao hao funders wa 'wazee wa kazi' ndiyo wanaotoa ulinzi thabiti kwa makampuni ya kigeni na kuwaacha waafrika wakiuana wao kwa wao. Uhuni mtupu!
 
Haya mambo ni magumu kwani huwezi kuwazuia askari kwenda kufanya kazi waliyotumwa.
RIP PTE Vasco utakumbukwa daima na ndugu,jamaa na depomates wa op kilimo kwanza kj 832 kombania ya demo 'a coy'
 
Hao askari weupe wa UN unaowaita wezi nchi zao ndiyo funders ya operationi inayoendeshwa na hao unaowaita 'wazee wa kazi'. Tunarudi pale pale kwamba under carpet askari wetu wapo pale kutumikia maslahi ya mataifa ya magharibi. Tusijidanganye ati vijana wetu wanaheshimika DRC. Tangu lini mtwana akawa na heshima mbele ya beberu?

Askari weupe wameshafanya risk analysis ya kutosha ndiyo maana hawaingii front line hasa maeneo yenye risk kubwa kubwa yenye mapigano ya weusi kwa weusi. Ikifikia hatua hiyo wanawatanguliza askari weusi ('wazee wa kazi') ili wakajifie kivyao. Jiulize iweje makampuni makubwa ya Marekani na Ufaransa yaendelee kuchimba madini bila kuvamiwa na hao intarahamwe miaka nenda rudi? Nani anawalinda? Makampuni ya kichina yanapasua magogo katika msitu wa Kongo bila kashkash yoyote, nani anawalinda? Hao hao funders wa 'wazee wa kazi' ndiyo wanaotoa ulinzi thabiti kwa makampuni ya kigeni na kuwaacha waafrika wakiuana wao kwa wao. Uhuni mtupu!

umeshawahi toka tanzania? au umekariri tu
 
Kwenye msafara wa mamba na kenge wapo.
Nimesema ujipange, usijekuwa unaporopokaropoka, mdomo uliponza kichwa.
 
Back
Top Bottom