List ya recruitment agencies Tanzania

List ya recruitment agencies Tanzania

nilitamani mziainishe contact zoa hasa emails tutume jamani,zaidi sana naomba mniunganishie kwenye mary250tz@yahoo.com
 
asante mkuu kwa kweza kuwasaidia wenzako kusaka ajira
Mungu atakubarikia kwa kazi yako usizimia moyo
 
Kwani washafunguliwa kufanya kazi tena?Haven't been into news lately,
 
If someone can assist me with there contacts i would really appreciate. Am looking for some to work with in recruitment of manpower to Qatar and Dubai.

Ningeweza kupata namba zao ningeshukuru sana. Natafuta baadhi yao tufanye kazi ya kupeleka watu nchini Qatar, Dubai kwa shughuli za kikazi. Email: hr_azizjobs@yahoo.com or azizjobs@live.com
 
Kwa anayehitaji email addresses au namba za simu kwa contact persons wa kila kampuni tafadhali unipatie email address yako na leo jioni nita forward spreadsheet yenye kila kitu.

kaka n2mie hzo adrss, emal yngu ni mwanzino@gmail.com
 
Gonga hapa upate kazi za NGOs na UN kwa nje ya Tanzania,, hakuna cross ni elimu, uzoefu na rizk maana mtoaji ni Mola... niko DRC na hii kazi nimeipata through link hizi hizi kama unaswali uliza hapa au ni PM

www.reliefweb.int
www.savethechildren.int
 
Back
Top Bottom