Recent content by Denis denny

  1. Denis denny

    JamiiForums Tanzania Serikali: Tunafuatilia suala la Mahakama Kuu nchini Afrika Kusini kuzuia ndege ya ATCL. Ni kufuatia Hermanus P. Steyn kufungua shauri

    Dawa ya deni ..usilete mbwembwe lipa fanya mambo yako..
  2. Denis denny

    JamiiForums Tanzania Kwako Rais Magufuli na TRA, kinachoendelea Karikoo kwa hawa wafanyabiashara ni hujuma kwa Taifa

    Mijitu kama nyinyi ndomana mkija madukani mwetu huwa hatutaki kuwauzia sababu unataka risiti kama ilivyo halafu unalialia bei upunguziwe ,ukitaka upewe risiti yako halali toa hela inayotakiwa usilielie ili nawe uonje uchungu wa risiti ukoje. Nchi hii kuendelea bado sana yani machinga anauza...
  3. Denis denny

    JamiiForums Tanzania Sababu ya Prof. Kabudi kuwa mpambe badala ya mshauri ni hii?

    Njaa mbayaa inakushusha thamani kabisa..
  4. Denis denny

    JamiiForums Tanzania Tusikufuru CAG ni binadamu siyo Mungu!

    We jamaa huwa unaandika ukiwa tumbo wazi ..unafiki unakutafuna.
  5. Denis denny

    JamiiForums Tanzania Nyalandu anagawa kadi za CHADEMA misibani Singida

    Nyalandu amewashika Mapupu mnatapatapa .
  6. Denis denny

    JamiiForums Tanzania Juhudi za RC Makonda: Kariakoo biashara kuwa masaa 24!

    Matatizo ya kuwaza kwa kutumia firigisi ..hata tunakonunua bidhaa nje huwezi uziwa masaa 24 na huwezi mlazimisha mtu aache kupumzika na mumewe/mkewe akuuzie wewe kama ulishindwa hudumiwa kwa masaa 12 jipange kwa siku nyingine
  7. Denis denny

    JamiiForums Tanzania Tangu makutano ya Ubungo yamewekwa hii Round About, foleni imepungua kiasi

    Tanzania hii kuna wasomi visheti wanakalilishwa madude ya ajabu mtu anamaliza kichwa kipo empty
  8. Denis denny

    JamiiForums Tanzania Kwa miaka 18 sijawahi kushudia ugumu wa biashara kama awamu hii ya Tano

    Nimekuuliza mana naona umetanguliza tumbo wazi mbele kwa kuanza kupondea halafu huna chochote ulichoshauri katikati ya malalamiko yako sababu unakuwa kama mpiga zumari.
  9. Denis denny

    JamiiForums Tanzania Kwa miaka 18 sijawahi kushudia ugumu wa biashara kama awamu hii ya Tano

    Sasa ulitaka kariakoo nyumba ziwe gest?
  10. Denis denny

    JamiiForums Tanzania Kwa miaka 18 sijawahi kushudia ugumu wa biashara kama awamu hii ya Tano

    Biashara ya awamu hii ni kama mchezo wa kubeti
  11. Denis denny

    JamiiForums Tanzania Joshua Nassari avuliwa Ubunge wa Arumeru Mashariki kwa “Utoro” Bungeni

    Nassari ameunga mkono kwa kubadili Gia angani ..tumbo mwanamalegeza
  12. Denis denny

    JamiiForums Tanzania Serikali yawaomba radhi wakulima wa Kahawa Tarime mbele ya mbunge wao John Heche

    Huyo ndo kiongozi siyo unakuwa mwongomwongo
Back
Top Bottom