Serikali yawaomba radhi wakulima wa Kahawa Tarime mbele ya mbunge wao John Heche

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
40,097
2,000
Naibu waziri wa kilimo mh Omari Mgumba amewaomba radhi wakulima wa kahawa wilayani Tarime kwa kucheleweshewa malipo. Waziri Mgumba amesema uzembe huo haukufanywa na serikali ndio maana yeye ameitikia wito wa mbunge wao mh Heche na kuja kuzungumza nao kwani maendeleo hayana vyama.

Waziri Mgumba amewahakikishia wakulima hao kuwa watalipwa fedha zao asap.
Source ITV habari

Maendeleo hayana vyama!!!!!
 
Matola

JF-Expert Member
Oct 18, 2010
41,286

Koro show veepe?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mmawia

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
98,200
2,000
Hao wajiandae kujiunga na wakulima wa korosho kwenye msiba usiyo na matanga
Naibu waziri wa kilimo mh Omari Mgumba amewaomba radhi wakulima wa kahawa wilayani Tarime kwa kucheleweshewa malipo. Waziri Mgumba amesema uzembe huo haukufanywa na serikali ndio maana yeye ameitikia wito wa mbunge wao mh Heche na kuja kuzungumza nao kwani maendeleo hayana vyama.

Waziri Mgumba amewahakikishia wakulima hao kuwa watalipwa fedha zao asap.
Source ITV habari

Maendeleo hayana vyama!!!!!

In God we trust
 
Mmawia

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
98,200
2,000
Unathibitishaje kama aliyosemani ukweli?kwenye issue ya korosho tuliambiwa serikale ingezinunua kwa muda wa siku mbili tu lkn leo hii ni miezi
Huyo ndo kiongozi siyo unakuwa mwongomwongo

In God we trust
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom