Hawa ndiyo Ma Prof,wa Bongo..
Badala kujikita kwenye tafiti mbali mbali Na kutoa mihadhara yeye anakomaa na mkutano wa kumvua Maalim nafasi yake.
Zingekuwa za kishamba wangeweza kutuwekea mgombea URAIS kwenye chama chetu?Mbinu za ccm ni za kishamba sana !
acha kulialia maalim seif hajakatazwa kuhudhulia kwenye mkutano na kila siku anaitwa na mwenye kiti wake haende kiburi sasa hata wakimvua wewe huoni kuwani sawa.mbona mnapenda kuishi ne ya uhalisiawakati unaonekana live liveTena niwaambie hapa. Waliontuma Lipumba Kuna kitu kinawatisha kuhusu maalim Seif. Huu mradi wa Lipumba unapitwa na muda na ndio maana hawaana aibu kuharibu bahati Yao hata kama mahkama imezuiya ili lengo la kunvua maalim Seif kwa njia yoyote ile ifanikiwe hata Kama ni haramu. Athari kwa nchi hapa haitazamwi kinachotazamwa ni maslahi. Huu mwiba wa maakin Seif Ni mkali kuliko sindano. Iwe isiwe inatakiwa maalim avuliwe ukatibu.
Mura ni hyeke mbaane!! Bhita ni bhita mura.Bhita ni bhita mura!
ni aibu sana !
Wewe mama!,kulikoni unaa wa namna hii?Inasemekana jeshi la Polisi lilishaelekezwa kumlinda Lipumba pamoja na wajumbe wake kwa udi na uvumba , jeshi la polisi lilitakiwa kuhakikisha " MKUTANO MKUU " Unafanyika ili kumvua ukatibu mkuu Maalim Seif pamoja na kuwepo kesi Mahakamani kuhusu uhalali wa uenyekiti wa Lipumba , ambayo hukumu yake ni March 18.
Sasa viongozi wa juu wanashangazwa na Kiherehere cha Polisi kuzuia mkutano huo ( ambao hata hivyo unafanyika kibabe baada ya wakubwa kuubariki ) , inasemekana ni lazima Maalim Seif avuliwe uongozi kabla ya hukumu .
Kamanda aliyeidhinisha katazo hilo atarudishwa makao makuu
Tutaendelea kuwaletea hujuma zote zinazofanyika kwa kadiri ya wajumbe waadilifu watakavyokuwa wanatuvujishia
View attachment 1043975
Sana tena sana kwa sababu mshauri mkuu wa mtukufu malaika toka chato ni Naibu Rais ndugu Daud Maliyamungu Bashite ambaye hana vyetiMbinu za ccm ni za kishamba sana !