Recent content by deluxelub

  1. deluxelub

    JamiiForums Tanzania Msaada: Gari yangu inameza oil

    IST 2005 Afu unatuaminisha ni gari jipya?
  2. deluxelub

    JamiiForums Tanzania Nawajibu walioniuliza hapa Arusha, hapana chezea Mawakili!

    Maneno yako haya hawa jamaa wa kijani wanaweza yachukuwa kama ajenda yao afu wakaitana na kuanzisha mchakato wa sheria ikawa kila sehemu inayofanya uchaguzi usimamiwe na NEC na ZEC...
  3. deluxelub

    JamiiForums Tanzania Nawajibu walioniuliza hapa Arusha, hapana chezea Mawakili!

    Maneno mubashara raha raha JF
  4. deluxelub

    JamiiForums Tanzania Mafia: Gari la Polisi limetumbukia baharini kwenye gati/ daraja la Kilindoni Mafia

    Ngoja nikupuuze kwanza naona upimbi umekuzidi.
  5. deluxelub

    JamiiForums Tanzania Mufti Mkuu: Ni wakati sasa wa kuifanyia Mabadiliko BAKWATA ili kuwaunganisha waislamu wote Tanzania

    Fafanua kidogo tupate kujifunza
  6. deluxelub

    JamiiForums Tanzania Tabia hii sio nzuri kabisaa hasa kwa wanaume

    Kutongozana PM lkn ikitokea hitilafu wanakuja tuwape mawazo. Muite na uyo mwenzio basi tuwasuluhishe maana papuchi kashakula na pesa kachukuwa hhhhh
  7. deluxelub

    JamiiForums Tanzania Siri imefichuka kumbe kifesi amefukuzwa kazi wcb

    Ndio maana kaamua kuwapigapicha wenye sura nzuri... Mche muungu = muogope muungu na haya maneno yako binadamu hatujuwi mwisho wetu
  8. deluxelub

    JamiiForums Tanzania Vyombo Vya Habari TZ na BOT

    Kama umepata info we tupe tu...
  9. deluxelub

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli ndani ya miaka miwili kapigwa nyaraka mbili zinazofanana kimaudhui, bado haelewi?

    Vichanga vinasumbua kiliwakati vinalia vinataka kunyonya, wanasiasa nao wanajenga hoja zisizo na majibu, mange kimambi nae usiseme alivyomkalia kooni, nyaraka sio mbili tu zipo zaidi ya mbili na zile za wachumi jee? Vp kuhusu ras simba nae kwenye zile grammar?
  10. deluxelub

    JamiiForums Tanzania Nyie jifanyeni tu mpo busy na maandamano na hamjasikia ila, kwa taarifa yenu tu ni kwamba....

    Ukichukua hizi data na ukizifanya kwenye makweli na kuziamini sana zitakupeleka kusema baada ya miaka flani hivi nchini Tanzania kutakuwa na 99% ya wananchi wake watakuwa waathirika wa ugonjwa wa ukimwi.
  11. deluxelub

    JamiiForums Tanzania Serikali: Taarifa ya umri wa kudahiliwa kidato cha 5 ilikosewa. Ni kuanzia miaka 25 badala ya miaka 20

    Makosa yakiuandishi wakati yeye ndie kuna sahihi yake pumbavvvvv kubabaee
  12. deluxelub

    JamiiForums Tanzania Vigezo vya kujiunga kidato cha 5 mwaka 2018/2019; Mwanafunzi mwenye umri zaidi ya miaka 20 kutodahiliwa

    Mwanahabari Huru Semakafu = sema cuf Mjadala huu mimi kwa wizani wangu nahisi kumekuwa na mipango ya kuzuwia wimbi kubwa la watu wasipate elimu hii tunayoambiwa eti ni elimu bora. Kama mtu akiangalia muendelezo kutoka miaka ya 90s mpaka kipindi hichi na kuweza kuunganisha dots vizuri anaweza...
  13. deluxelub

    JamiiForums Tanzania Mnaotembea na mabinti chini ya umri wa miaka 25 huwa mnafaidi nini?

    Above 25 ndio keki ya taifa...
Back
Top Bottom