Vyombo Vya Habari TZ na BOT

Bin Maryam

JF-Expert Member
Oct 22, 2007
685
13
Mlioko Tanzania naomba mtupe ni jinsi gani masuala haya ya ufisadi na skando za BOT zivyofuatiliwa na vyombo vyetu vya habari huko nyumbani.

Nina wasiwasi kuwa inawezekana niliye nje ninakuwa well-informed kuliko waliopo ndani.
 
We The The
 
Kama umepata info we tupe tu...
 
Mlioko Tanzania naomba mtupe ni jinsi gani masuala haya ya ufisadi na skando za BOT zivyofuatiliwa na vyombo vyetu vya habari huko nyumbani.

Nina wasiwasi kuwa inawezekana niliye nje ninakuwa well-informed kuliko waliopo ndani.
Hili kaburi ni kipindi Lowassa ni PM
 
Back
Top Bottom