Recent content by delly

  1. D

    10 Marketing Officers needed

    Katika pitapita nimeikuta hii wenye vigezo changamkien kidogo.
  2. D

    Ukweli kuhusu Reborn International

    Polen na majukumu. Naomba kuelewa kuhusu hawa Reborn tumeomba ajira wanasema tutume hela za certification kwa mwanasheria wao.mwenye uelewa please anijuze.
  3. D

    Mikopo kwa graduates

    TIB KUTOA MIKOPO KWA VIJANA; ZOEZI KURATIBIWA NA BARAZA LA TAIFA LA UWEZESHAJI (NEEC)  Baraza la taifa la uwezeshaji wananchi kiuchumi, (NEEC), na TIB Development bank, wametialiana saini makubaliano ambayo yatatoa fursa kwa vijana wahitimu wa vyuo vikuu na vya kati kupata fursa...
  4. D

    Kuna aliepata ajira kupitia kampuni ya JOBS IN DUBAI?

    Habarin wana jamvi naomba kujua yeyote mwenye taarifa na hawa recruiters wa jobs in Dubai.
  5. D

    Huu ndo ukweli unampenda nani MMU

    nawapenda wote humu
  6. D

    Missed call ya shemeji

    jf kuzur jaman.
  7. D

    Haki ya mjane

    habar jaman. ikiwa mali za marehemu zina majina ya umiliki ya watoto au mke mgawanyo wake unakuaje?
  8. D

    Uelewa please kuhusu hii interview

    Asanten kwa ushaur mana alinipigia nikahoji kuhusu hizo cost kama Nina ndugu mtwara ntatoaje hela akadai ni utaratibu wa kampuni yao ya kichina.
  9. D

    Uelewa please kuhusu hii interview

    Habari,-Tunakuhitaji kwenye usaili na mafunzo ya kazi kwa ajili ya nafasi ya kazi uliyoomba.Unatakiwa kuchangia gharama ya Malazi na chakula wakati wa usaili na mafunzo ya kazi ambayo yatafanyika kwa muda wa siku 4 kwa maana ya siku moja(1) ya usaili wa kufahamiana na siku tatu(3) za mafunzo na...
  10. D

    Mkopo kwa dhamana ya vyeti

    Ok nashukuru nimeelewa hapa.
  11. D

    Mkopo kwa dhamana ya vyeti

    DHAMANA YA AJIRA: Waziri wa Kazi na Ajira, G. Kabaka kwa kushirikiana na benki ya CRDB, awataka wasomi kuweka vyeti vyao dhamana ili kupata mkopo wa ajira CRDB.Mwenye uelewa na hili atujuze mana siwaelewi ndio wanataka watunyang'anye na vyeti?
  12. D

    Msaada; Mashine ya kusafishia maji

    Hata za kuchuja maji chumvi zipo NABAK AFRIKA
Back
Top Bottom