Ukweli kuhusu Reborn International

Ukweli kuhusu Reborn International

Kama Employee anaweze kukuoffer package ya zaidi ya Million 4, akitoa hyo verification fee kwenye hyo package ana hasara gani. walinitumia e-mail nikaisomaaaa nikaona haiwezekani. Sijawahi kuona kitu kama hicho katika maisha yangu. Isitoshe, Hyo Reborn International haina ata website, sasa kama NGO haina ata website unategemea nini. Kama kweli ni matapeli, wametumia jina la Kanisa iliyopo America... Wametumia akili, na niwavumilivu sana, kwenye hyo tangazo waliweka clause kwamba kwenye maswala ya verification ya vyeti gharama zitakuwa juu ya mwombaji, of which ni hyo Tsh 51,500. Post zilikuwa mia... hiyo Tsh 51,500 mara 100 ata pata 5.15m. Hyo lak na nusu ni ada yakutoa hyo 5m... ila hii e-mail wanaweza wakawamewatumia waombajii wote... Kama Tapeli kweli, atapata hela nyingi. Chunguza kwanza, nenda ukachungulie kama hyo ofisi kama bado una imani hzo kazi zipo. Mimi binafsi, I doubt kabisaa
 
Jamani huu ni wezi na utapeli mkubwa. Hawa watu wanadeal na njaa yako ya ajira ili wakuzidishe umasikini.

Hio 51500 umeandika mkataba wowote? Utapatiwa receipt? Au kuzinguwana tu? Chonde chonde ndugu zangu huu ni utapeli.

Ajira yeyote ukiambiwa ulipe mwanzo ni kosa.
Ajira yeyote ukiambiwa nenda kamlipe fulani ni kosa.
Hizo certification huyo lawyer atazifanyaje kwa muda usiozidi 3 weeks wakati hizo emails zimetumwa kwa karibu ya watu 100 kama si zaidi?
Kwa nini asitake kuziona original copy kabla ya kucertify?
Malipo yote siku hizi huendana na receipt ukilipa imekula kwako... na ukituma certificates zako jitayarishe na identity theft.

Three months ago nilipata upuuzi kama huo, jamaa walisema wanatoka Spain na wanataka niajiri. Hakukuwa na interview wala lolote na walinimaliza waliposema nilipe expatriate insurance kablabya hata workpermit na mengineyo hayajatoka... i almost agreed... ila walichokosea waliniambia lazima ulipe kwa broker fulani. Hapo nilistuka na nikawaambia nataka kudeal na broker mwengine maana sheria si insurance tu... Jamaa nduki hawajarudi hadi leo.

Twiga Bancorp... angalieni KYC zenu... tutawashitaki kwa kufacilitate utapeli...
 
i got the message, ila kabla hatya kuona haya ya humu nilifanyahe chekup maana nilikwa curious.....sioni domain ikiwa active, huyo lawyer hapatikani hata linked in au any social etwork...ok acha hizo website not existing...then email ya hiyo domain inafanyeje kazi...ok labda hawaja host...ila webmail link lazima iwe ina exist

ayway pamoja na kuwa nilipata email....kutuma hela noo maaana no clear info.
 
pia i expect mail to be sent to a group of people kwa pamoja....anyway inawezekna wame treat as Bc Cc na To. ila imetumwa usiku saa nane na tisa....mida hii ni muri kwa hackers kufanya mambo yao kwa kuwa ni usiku na kumetulia...mi ni binafsi ni computer guy...BScIT michezo yote naifahamu mida yake mizuri...kama ni ofisini nilotegemea inbox iwe from 0700 to 1800 angalau,,,,ofice mail ya saa nane au tisa usiku ni tata...so kuzingatia hata muda hao wanataka wafanye cybercrime ya utapeli.........

be carefuly....nahisi kuna kitu hakiko sawa....
by white hacker skipper
 
Nataka ushauri kutoka kwa watu. Huwezi jua. Yawezekana ni kweli na wapo wenye vithibitisho au ni uongo na uthibitisho wa uhakika ukawepo. Kuuliza si ujinga japo kuna kuangalia

Hivi kweli dunia ya leo uliona money ikawa involved kwenye recruitement process? you seriously believe this to be true? then I'd highly doubt your reasoning ability.
 
Polen na majukumu. Naomba kuelewa kuhusu hawa Reborn tumeomba ajira wanasema tutume hela za certification kwa mwanasheria wao.mwenye uelewa please anijuze.
 
Polen na majukumu. Naomba kuelewa kuhusu hawa Reborn tumeomba ajira wanasema tutume hela za certification kwa mwanasheria wao.mwenye uelewa please anijuze.


Usijaribu kutuma utaibiwa...


MATAPELI HAO
 
katika swala la kuomba kazi epuka kutuma pesa asilimia 90 huwa ni matapeli.
 
Naombe msaada kuhusu hawa Reborn...
Walitangaza nafasi za kazi ya Voter Education...... watu wakaaply vizuri sana na baadae! Majibu yakatoka kwamba wamechagulia asante ni ajira

Maajabu yaakanzia hapa!
1. Kutuma pesa taslim shiling 51,500
2. Kuna tarehe ya training hapa hapa Dar es salaam itaanza tarehe 01/04/2015 hakuna venue wala nini
3. kuna namba ya simu ya kutuma Tigo or m. pesa ambayo hutakiwi kuipiga unachotakwia wewe ni kutuma pesa tuu


  • [h=2][/h]

  • lega%20rebo.jpg

  • [h=2]Tanzania Referendum Support Project (TRSP)[/h] The Submission Deadline Has been Extended Untill 22 March 2015, if you have not yet completed the certification process please go ahead and send your certificates immediately from now


  • [h=2][/h] Send your Scanned certificates(O-level,A-Level and or College/University) to;Mr Juma Shaban Kayilla Machiya.Email: jskmachiya@consultant.comAlong with Certification Costs of Tsh 51,500/= before the mentioned deadline of 22nd March.Please use the details above ( M-Pesa or TIGO-Pesa to send your certification fee to the lawyer as instructed, and send him m-pesa/tigo-pesa transaction message just to inform him that you have already completed procedure)Read the following step for Instructions


  • [h=3]Certification Costs (Tsh 51,500/=)[/h] SEND Your Certification Costs to the Independent Legal Consultant, Mr Juma Shaban Kayilla Machiya


  • [h=2][/h] M-Pesa : Juma Shaban. Machiya 0763-56-63-94





  • [h=2][/h] TIGO-Pesa : Juma Shaban. Machiya 0712-94-16-46



  • [h=2][/h] PLEASE Do Not Call These Numbers, Because it is will be impossible to Respond to all the calls while having other things to attend to



    Tafadhali mwenye kujua zaidi naomba anijulishe kama ni tayari utapeli au laa ni nini kinaendelea

    Kama nijuavyo vyeti vyingi tayari viko certified


 
Back
Top Bottom