Recent content by Deliver

  1. D

    Video: Zitto Kabwe azomewa Tunduma, aitwa Yuda na Msaliti, akiri kuonja supu ya jiwe Tunduma

    Mbona kama ni kagenge ka watu kadhaa wakiongozwa na mchukua tukio watanzania akili zetu sijui ziko wapi hamna kazi ya kufanya camera yenyewe sijui mchina
  2. D

    Nataka kumuacha mke wangu

    Ndio tatizo la kuoa mwanamke ambae hajaenda shule piga chini
  3. D

    Upinzani au UKAWA dhidi ya chama tawala

    Habarini wana jamvi nimekua mfuatiliaji sana wa mada za humu ndani mada nyingi ni kuuponda uongozi uliopo si vibaya kila kitu kina faida na hasara hata wewe pale nyumbani kwako kuna mambo kadhaa ambayo umekosea mengine umefanya vizuri. Nirudi kwenye mada yangu au swali langu ukikaa ukatafakari...
  4. D

    CHADEMA nitajieni List yenu ya Viongozi wa tano(5) tu ambao wataliongoza taifa , wakati wenu

    Chadema bado saaana wajipange viongozi wao ubabe mwingi kuliko akili kama wamemfukuza hadi zito unafikiri wana busara kweli wanataka wapige pesa tu
  5. D

    Tafakuri: CHADEMA ina uwezo wa kushinda majimbo zaidi ya 70% Bila kutegemea UKAWA

    jamaa unaota ndoto za mchana mnashinda kwa maneno badala ya vitendo na usione mtu kaja kwenye mkutano ukajua atakupigia kura mwingine kaja kumuona slaa au mboe tu
  6. D

    Rais Kikwete nchi imemshinda mwanzo mwisho

    Acha kuropoka jipime ww umefanya nn kwa miaka 10 jk ameboresha sehem kubwa watu wako huru kuongea kama ww anavyotoa pointless
  7. D

    Freeman Mbowe atetemesha Itilima-Simiyu

    mbona wamejaa wanafunzi
  8. D

    Majibu ya Zitto kwa Wana-CHADEMA

    ZIto atawanyoosha ukawa na chadema jamaa ni mkubwa
  9. D

    Mnyika amshambulia Zitto mtandaoni, Vita yao sasa ni zaidi ya Siasa

    Mnyika hawezi kumfikia zito.Zito maji marefu dogo anatapatapa kwa nza hajafanya kitu chochote katika nchi hii tumjue kama zito
  10. D

    Harusi ipo palepale ila nabadilisha bibi harusi

    yaan mtu hata vikao vinaendelea amekunyima pesa huyo ni hatari na ndio tabia yake asikudanganye atabadilika oa aliekusaidia huyo mwingine hafai kama upo anafanya hivyo ukiwa haupo si ataacha afe mchaga nn huyo dada
  11. D

    Swali kwa wana jf

    Chukulia ww ni kijana wa kiume ulikua na gf kama 4 hivi ila 1 hua anakutafuta mnapiga story na kujuliana hali hii inamaanisha nn alikupenda kweli au kawaida 2 na ameishaolewa na ww umeoa na ww hua haumtafuti.
  12. D

    USHAURI : Mpenzi wangu ameunguzwa na pasi anaomba tuachane...

    Tatizo la kudate watoto ndio hilo
  13. D

    Nataka nipate raha ya ukweli japo siku moja

    Acha ujinga raha ni jinsi unavyoishi na watu hakuna kingine raha ya siku 1 itakusaidia nn
  14. D

    Nimeshindwa kufanya mapenzi

    Unapania mno mzee 2liza mzuka uone ni kawaida 2
  15. D

    Maajabu: Eti hataki tufanye hadi nimuoe kwanza!

    Ila usiwe na haraka sn mfanye akuamini ataachia mwenyewe 2
Back
Top Bottom